Tetesi: Baada ya Polepole sasa anayewindwa ni Lissu. Lissu anatakiwa kulindwa kuliko kitu chochote

Baada ya Polepole, kwani polepole amefanywa nini?
 
Hakuna fala wa kuwapa wapinzani nchi hii kirahisi hivyo.
Hata kama sina chama naungana na ninyi kuwa, Wapinzani kupewa mamlaka ya Nchi hii sidhani kutakuwa na mabadiliko yoyote

Huenda hali ikawa mbaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…