GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hujui kuwa GENTAMYCINE ni Msumeno unaokata Kote Kote? Leo ni zamu yenu Yanga SC yenye Rafiki zangu wakubwa mno hapa JamiiForums na 'Genius' kabisa akina Bila bila na adriz hivyo mnivumilie tu.ππππ Leo unawapasua na juzi ulisema umehamia kwao kaka?
AKILI ZA UTOPOLO BADALA TAREHE UNAANDIKA TARIKI VERY NONSENSE.Hivi kwanini simba wanatumia nguvu saana kuponda yanga
Ndo maana mimi na waita propaganda fc ninyi ni timu ambayo ni sawa na inch ya Marekani maneno mengi ila vitendo ndo 0
Ok sisi hatuna akili tukutane tariki 13 ndo mtajua kama kweli hatuna akili au tunazo bali ni uzalendo wa kupenda timu yetu
Propaganda fc
Waliosema hamna akili ni wanayanga wenyewe,alianza aliyekuwa kocha wenu Luc Eymael,na wa pili ni msemaji wenu Haji Manara sasa inakuwaje lawama ziwaangukie Simba? Na hata majina ya ovyo yametolewa na wana Yanga wenyewe, Utopolo limetoka huko huko, vinyesi FC limetolewa na mtukuka wenu Haji Manara.Hivi kwanini simba wanatumia nguvu saana kuponda yanga
Ndo maana mimi na waita propaganda fc ninyi ni timu ambayo ni sawa na inch ya Marekani maneno mengi ila vitendo ndo 0
Ok sisi hatuna akili tukutane tariki 13 ndo mtajua kama kweli hatuna akili au tunazo bali ni uzalendo wa kupenda timu yetu
Propaganda fc
Huna lolote na ww uwongo na umbea vimekujaa dume Zima acha hizoHujui kuwa GENTAMYCINE ni Msumeno unaokata Kote Kote? Leo ni zamu yenu Yanga SC yenye Rafiki zangu wakubwa mno hapa JamiiForums na 'Genius' kabisa akina Bila bila na adriz hivyo mnivumilie tu.
Simba SC yangu nawavumilia hadi Ijumaa nikiona bado hawajamalizana na Mshambuliaji ninayemhitaji na Kumpenda Ceaser Lobi Manzoki nitaanzisha rasmi Vita nao kwa Kutoa SIRI zao Kubwa Mbili ( tena za HATARI na KASHFA ) ambazo nina uhakika nchi itasimama kwa muda na ndipo watajua kuwa GENTAMYCINE si wa mchezo mchezo.
Haji Manara aliposema hivyo alikuwa Simba hakuwa Yanga, na alipokuja Yanga alifuta kauli yake lakini mmekomaaa nae tu mnataka kumfitinisha na Wanayanga kwa chuki zenu.Waliosema hamna akili ni wanayanga wenyewe,alianza aliyekuwa kocha wenu Luc Eymael,na wa pili ni msemaji wenu Haji Manara sasa inakuwaje lawama ziwaangukie Simba? Na hata majina ya ovyo yametolewa na wana Yanga wenyewe, Utopolo limetoka huko huko, vinyesi FC limetolewa na mtukuka wenu Haji Manara.
Yuko mwngine kawaita mataputapuWaliosema hamna akili ni wanayanga wenyewe,alianza aliyekuwa kocha wenu Luc Eymael,na wa pili ni msemaji wenu Haji Manara sasa inakuwaje lawama ziwaangukie Simba? Na hata majina ya ovyo yametolewa na wana Yanga wenyewe, Utopolo limetoka huko huko, vinyesi FC limetolewa na mtukuka wenu Haji Manara.