Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran.
Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel.
Wiki hii Makamu wa Rais wa Iran Javad Zarif amejiuzulu tarehe 12/8/2024 na hadi sasa nafasi ipo wazi. Zarif amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka 8.
Ushauri wake ulikuwa ni Iran wasithubutu kuishambulia Israel, alionya Iran iache kufadhili vikundi kama Hamas vinavyoishambulia Israel kwasababu kufanya hivyo ni Iran kuishambulia Israel na ni hatari kwa usalama wa Iran.