Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA huko mkoa wa Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 ambayo ukibahatoka kupata baraka hii Wanazuoni wanasema ni namba ya bahati, Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe.

Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko, na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA, ukiacha mamluki na Chawa wachache.

View attachment 2890747

Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya, ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki, ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD, Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya Maandamano ya Amani.

Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo, huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona), likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA.

View attachment 2890745
Hivi wewe una akili????
 
wimbo au?

wacha waseme chama cha mapinduzi kinawenywe ....
na katika wenyewe wewe wala mama yako hamuwezi kuwemo

JamiiForums-787880945.jpeg
 
Mbeya gani hiyo iliyolipuka kwa shangwe. Mi nipo Soko la Mwanjerwa hapa nauza mitumba mbona sijasikia wala kuziona hizo shangwe? Acha uongo we Joyce hawara wa mbowe, hata kama unampamba hawara yako Makengeza lakini sio hivyo.
 
Matusi na uchawi havitakusaidia kitu
 
demonstrations with no end game are like jogging....

institution with no formal and proper communication strategies are nothing to do with changes...

politicking without winning formula is like flood in ocean
Endelea kulalama humu,acha watu wengine wakupiganie, uzuzu wako wa uoga ndio ujinga wako, kama wewe una njia bora zaidi za kudai haki zifanye ,otherwise shut up
 
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA huko mkoa wa Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 ambayo ukibahatoka kupata baraka hii Wanazuoni wanasema ni namba ya bahati, Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe.

Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko, na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA, ukiacha mamluki na Chawa wachache.

View attachment 2890747

Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya, ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki, ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD, Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya Maandamano ya Amani.

Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo, huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona), likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA.

View attachment 2890745
CC: Lucas Mwashambwa, Etwege na Tlaatlaah chawa wakomavu. Itawaumiza sana.
 
Endelea kulalama humu,acha watu wengine wakupiganie, uzuzu wako wa uoga ndio ujinga wako, kama wewe una njia bora zaidi za kudai haki zifanye ,otherwise shut up
sasa anae lalama mie au weye 🤣
 
CC: Lucas Mwashambwa, Etwege na Tlaatlaah chawa wakomavu. Itawaumiza sana.
manyumbu mnapata tabu kwasabb moja tu....

kuishi kwa wazazi mkiwa watu wazima 🐒

mkianza kujitegemea hii mihemko na makasiriko itakwisha kabisa
 
Huenda kituo kinachofuata cha Makonda kabla ya maandamano ni huko! Bado kero zinatafutwa ili akazimalize.
 
Back
Top Bottom