Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo Wanazuoni wanasema ni namba ya bahati kwa vile inagawanyika kwa mbili ,Baada ya kusikia tu kauli hii ya Mnyika Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe.

Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko, na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA, ukiacha mamluki na Chawa wachache.

View attachment 2890747

Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya, ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki, ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD, Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya Maandamano ya Amani.

Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo, huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona), likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA.

View attachment 2890745
Wasije kuomba michango maana ufipa kwa mambo ya njuruku wapo faster!
 
Nyerere angelikuwepo angeandamana pia...warabu wapewe bandar,mbuga nk. asingekubali lkn nchi imejaa vijipendekezi Kila kifanywacho ni makofiii!!! Michawa mijinga mingi
 
manyumbu mnapata tabu kwasabb moja tu....

kuishi kwa wazazi mkiwa watu wazima [emoji205]

mkianza kujitegemea hii mihemko na makasiriko itakwisha kabisa
Najua wazi hapa uko kazini. Unaishi kwa kulipwa vijisenti kidogo kuwatetea walamba asali mitandaoni. Siyo kweli kwamba hii kazi unaifanya kwa utashi wako, maisha yanakulazimisha, halafu ulivyo mjinga hujui waliofanya uwe hivyo ni haohao waliokuajiri uwapambanie mitandaoni.

Look here, viongozi wa CCM wamefika mwisho wao wa kufikiri na husitegemee jipya toka kwao. Kwa umri ulionao unapaswa kuwaza nje ya box siyo kuwa chawa.
 
🤣🤣🤣aiseee mbussi bana

Umejuaje nipo kazini wew😅 halafu nipo live 😅

ukiwa mtumishi wa wanainchi si unategemezwa na wanainchi wenyewe sasa 🐒

nawafanyia kazi wananipatia kakitu apa sasa pia tunajadili mambo yenu nanyi lazima muongeze juhudi Kulipa kodi ili mambo yetu na yenu yaendree Vizuri 🐒

Ohh kumbe niko live 🤓🤓🤓
 
Machawa wanajitahidi kuwa negative kusudi tukate tamaa tusione tija kuandamana, nasema hivi fanyeni yenu tuache sisi tutengeneze njia ya kizazi cha kesho
 
Nitaacha vyote nije kuungana na watu wangu wa nyumbani kupaza sauti zetu kwa watawala na mataga wote.

Ndaga Fijo..))
 
Najua wazi hapa uko kazini. Unaishi kwa kulipwa vijisenti kidogo kuwatetea walamba asali mitandaoni. Siyo kweli kwamba hii kazi unaifanya kwa utashi wako, maisha yanakulazimisha, halafu ulivyo mjinga hujui waliofanya uwe hivyo ni haohao waliokuajiri uwapambanie mitandaoni.

Look here, viongozi wa CCM wamefika mwisho wao wa kufikiri na husitegemee jipya toka kwao. Kwa umri ulionao unapaswa kuwaza nje ya box siyo kuwa chawa.
🤣🤣🤣aiseee mbussi bana

ukiwa mtumishi wa wanainchi si unategemezwa na wanainchi wenyewe sasa 🐒

nawafanyia kazi nzuri wananipatia kakitu nifanye bidii zaidi 🐒

Mfano apa sasa hivi tunajadili mambo yenu ya sijui tume ya uchaguzi na uchaguzi,

sasa nanyinyi lazima muwe waungwana basi,
muongeze juhudi katika kufanya kazi na mlipe kodi sahihi kwa wakati ili mambo yetu na yenu yaendree Vizuri,

hii maandamano achaneneni nayo ni usumbufu tu 🐒

Kuna tatizo apo ndugu yangu mbussi

Ohh sorry,
kumbe niko live ndrugo zango 🤭🤣
 
CHADEMA KUSANYENI VIDEO YA AHADI ZA SISIEMU 2020 MUWAWEKEE WAANDAMANAJI ILI TUPIME UTEKELEZAJI WAKE JE UMEFIKA HATA 50%
 
kwanini msiombe appointment na Muheshimiwa Dr. SSH mukamuelezee mikwamo mnayoiona, mnachosha wananchi kuwatembeza kilometer nyingi bila ata ya kuwapa maji na chakula
Kaa kwa kutulia Ngoma sio Yako inakuhusu Nini, waachie wenyewe kwani wamekwambia wamechoka.
 
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo Wanazuoni wanasema ni namba ya bahati kwa vile inagawanyika kwa mbili ,Baada ya kusikia tu kauli hii ya Mnyika Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe.

Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko, na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA, ukiacha mamluki na Chawa wachache.

View attachment 2890747

Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya, ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki, ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD, Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya Maandamano ya Amani.

Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo, huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona), likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA.

View attachment 2890745
Mbeya.......mpoooo!!!!
 
Machawa wanajitahidi kuwa negative kusudi tukate tamaa tusione tija kuandamana, nasema hivi fanyeni yenu tuache sisi tutengeneze njia ya kizazi cha kesho
kukata Tamaa ni uzembe wa kiwango cha changarawe...

Lakini kubebwa unyumbu ni mzigo mzito zaidi 🤣
 
Kwi Kwi Kwi
ila jamaa ulikua kilaza sana, yaani na chabo zote zile hadi kiswahili ukachezea F🤣🤣

sasa sijui walivokupeleka uwalimu wa certificate ungekua unafundisha nini 🤣🤣🤣

bora ulidisco
 
maandamano yakawe salama na heri kwa wakazi wa Mbeya na Tz kwa ujumla.
Nb: msisahau kuandamana kuhusu mgao wa umeme.

mimi nitakuwa naandamana nyuma ya keybord
Kitombise
 
hayo maandamano au ni kampeni, waandamane waende ilipo serekali mfano mfupi maandamano ya juzi hapa DSM wanaaachakwenda kushinikiza hizo kero za raia ilipo serekali wao wanaenda mbagala na mbezi ... sasa mbagala au mbezi kuna serekali gani?
 
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo Wanazuoni wanasema ni namba ya bahati kwa vile inagawanyika kwa mbili ,Baada ya kusikia tu kauli hii ya Mnyika Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe.

Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko, na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA, ukiacha mamluki na Chawa wachache.

View attachment 2890747

Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya, ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki, ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD, Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya Maandamano ya Amani.

Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo, huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona), likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA.

View attachment 2890745
wasaliti kibao kwenye hivi vyama
mfano halisi ni covid-19
tuliamini ni wapinzani kumbe wapo kazini upande wa pili
 
Kutusumbua tu! Yaone!
 
Back
Top Bottom