Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Pole kwa maumivuKutusumbua tu! Yaone!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa maumivuKutusumbua tu! Yaone!
Mtapata tena watu afuwatatu tu kwenye maandamano yenu! Wananchi wameshatupuuza!Pole kwa maumivu
Mbeya ndio kuna CHADEMA halisi, Moshi kuna wasaka Tonge tuHii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo Wanazuoni wanasema ni namba ya bahati kwa vile inagawanyika kwa mbili ,Baada ya kusikia tu kauli hii ya Mnyika Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe.
Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko, na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA, ukiacha mamluki na Chawa wachache.
View attachment 2890747
Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya, ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki, ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD, Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya Maandamano ya Amani.
Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo, huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona), likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA.
View attachment 2890745
Yule Mchawi mvaa KOBAZI aliyedai atazunguka misikiti yote TZ kapotelea wapi?Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo Wanazuoni wanasema ni namba ya bahati kwa vile inagawanyika kwa mbili ,Baada ya kusikia tu kauli hii ya Mnyika Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe.
Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko, na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA, ukiacha mamluki na Chawa wachache.
View attachment 2890747
Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya, ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki, ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD, Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya Maandamano ya Amani.
Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo, huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona), likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA.
View attachment 2890745
Hofu nantetemeko vimekufunikakwanini msiombe appointment na Muheshimiwa Dr. SSH mukamuelezee mikwamo mnayoiona, mnachosha wananchi kuwatembeza kilometer nyingi bila ata ya kuwapa maji na chakula