Mkuu umenifurahisha sana, kwamba eti matukio ni yale yake mpaka yana bore kusoma.Waliamshe tu. Nchi ilikua imepoa sana, yaani napitia madaftari ya history ya madogo wa form 3. Notes ni zile zile nilizosoma mimi miaka 18 iliyopita. Hakuna kilichoongezeka
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMimi nimeandaa pesa ya kunywa BLACK LABEL!
Tena nitaenda kuinywea POLICE MESS!
For argument sake ngoja tuangalia huu ushauri realistically..., Unawaambia Kina Bakari, Juma na James watoke makwao na silaha (sidhani kama umewaambia jinsi ya kuzificha au wewe ndio umeziweka sehemu wapite na kuzichukua au utawagawia, bali unawatangazia kwenye open media mithili ya mtu anayetoa tangazo kwenye gazeti la kila siku)..., Unataka kila mtu atoke kivyake lets say na Shoka au Panga au Mshale (unless ana sura kama mkulima au mlinzi - atakuwa ame-attract attention); haya amefika katika tukio ile tu kuonekana na silaha ni go ahead kwa wauwaji kumfanya target practice na kuwaponza wote waliomzunguka kwamba wana silaha by the time ametupia mshale na kutoa mwingine kwenye kapochi kake unajua SMG yenye magazine itakuwa na uwezo wa kutoa risasi ngapi at that same instant ?.Maria yeye ni mpanga mikakati ya ushindi.
AMINAKuna jambo litatokea watu hawatoamini mtabaki kujiuliza how this happens may be halijatokea ni tunaota muda ndo nabii mzuri wa ukweli hata ukisema hakuna wa kukuamini until it happens
Madogo ambao bado hawajaliwa waje kusoma 2025 wakubwa zao walikinukisha kupinga ufisadi. Sio hii history ya kumtukuza Nyerere tu halafu mpaka leo matundu ya choo cha shule tu tunajengewa kwa msaada.Unataka waandike uhuru tulipata 1969 na Karl Pieter alikuja 1700s
Daah asante sana kwa kunitoa ushamba๐คฃ๐คฃ Jamaa wa mabaka mabaka now days Wana waita red cross,
Waliojazana leo barabarani hujawaona? Wameambiwa waongezee ulinzi Augustino anataka kufanya yake..Red cross gani unayoizungumza?
Nakuamini hujawahi kuandika mashudu hata siku moja. Tension Kama iliyokuwepo kabla na baada ya tarehe 29 imerudi.Hivi unajua wanajeshi 15 na asikari 89 wamekufa?
Hivi unajua wanajeshi 12 Kati ya 15 wamezikwa Zanzibar maana yake Ni wazanzibar?
Hivi unajua kmkm 45 wanashikiliwa mpaka sasa kwa mauaji yaliyofanyika ?
Hivi unajua wanajeshi 18 wa Uganda na Zimbabwe wamekufa?
Hivi unajua sasahivi 75% ya police na wanajeshi wameikataa hii serikali baada ya mauaji?
Hivi unajua kwamba Kama Jambo litasubiliwa mpaka D9 Hali itakuwa mbaya Sana kwa wahuni
Ndio maana ili kuepusha madhara tunatakiwa kumaliza nao kabla ya maandamano ili kuokoa watu wasife Kama mwanzo
Na ndio plan ya vyombo vya usalama!
Wahuni wote kazi wanayo wajipange lasivyo kinawalamba.
April 26 ndio siku ya kuvunja muungano. Afu tuone huyo chura kiziwi kama ataweza kuendelea kuitawala Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibar.Sisemi n'goo ๐๐
Iko ivii kwa kifupi sanaa..
Oktoba29
Disemba9
Januari1
Januari12
April26
Zinafuatana nakwambia ukweli Tu
Hii irudiwe upya sijasikia vizuri umesema kwamba? Dictator Museven nae anahusika kuua ndugu zetu?Hivi unajua wanajeshi 18 wa Uganda na Zimbabwe wamekufa?
Kupinga ufisadi au kuchoma moto miundombinu,mali za watu na kuiba?Madogo ambao bado hawajaliwa waje kusoma 2025 wakubwa zao walikinukisha kupinga ufisadi. Sio hii history ya kumtukuza Nyerere tu halafu mpaka leo matundu ya choo cha shule tu tunajengewa kwa msaada.
Madogo watakuja kuchukulia kama vile sisi tuliowatangulia hatukufanya chochote kuchallenge viongozi wawajibike.
๐น๐น๐น Manyau nyau unajidhalilisha sasa.!!Sisemi n'goo ๐๐
Iko ivii kwa kifupi sanaa..
Oktoba29
Disemba9
Januari1
Januari12
April26
Zinafuatana nakwambia ukweli Tu
Historia itakumbuka Samia alikataliwa na wananchi akajiweka madarakani kwa kufanya mauaji ya halaiki.Kupinga ufisadi au kuchoma moto miundombinu,mali za watu na kuiba?
Labda kama historia ni muhalifu mwenzioHistoria itakumbuka Samia alikataliwa na wananchi akajiweka madarakani kwa kufanya mauaji ya halaiki.
Historia haitakumbuka duka lililovunjwa wala kituo cha mafuta kilichochomwa moto
Mkuu nimekuelewa ila kwa mbaaaliUkiitajika utolee ufafanuzi ndipo utajua ni anonymous au gete gete...
NB. Humu Jf usizanie ni hapo kijijini kwenu..for your information Jf ni limashine LIKUUBWAAA... Rule to remember.. remember rule #1
Dont trust anybodyUkiitajika utolee ufafanuzi ndipo utajua ni anonymous au gete gete...
NB. Humu Jf usizanie ni hapo kijijini kwenu..for your information Jf ni limashine LIKUUBWAAA... Rule to remember.. remember rule #1
Mzee huyu jamaa na uchizi wake lakini info anazoHapo ndiyo ujuwe kuwa October 2pm ni kichwa cha panzi. Yeye anaandika chochote tu maana hana ubongo