MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?
Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.