MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Baada ya maji kukauka, Mungu aliendelea na uumbajiTafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale? Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Mmmnnhhhh hebu soma vizuri kitabu cha mwanzo kwenye uumbaji halafu njoo tujadiliane hiliBaada ya maji kukauka, Mungu aliendelea na uumbaji
Hapo huwa kuna swali la kujiuliza, Je mafuriko yalikuwa dunia nzima!?
Kwamba kwa kipindi kile dunia iligeuka na kuwa mpira wa maji!?
Wale waliokuwa wanaishi Tandahimba, nao walistahili adhabu ile? Yaani walimkosea Mungu kama ambavyo watu wa Nuhu walivyofanya!
Nadhani mafuriko yale yalikuwa ni adhabu kwa watu wa mji wa Nuhu.
Enzi hizo bara lilikuwa moja (One major landmass known as Gondwanaland) kwa hiyo lilipojigawa (splitting through natural force) kila kipande (bara au kisiwa) kiliondoka na viumbe wake. Sehemu nyingine wanyama walipelekwa.Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale? Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Wakati GHARIKA inatokea, hakukua na Mabara, kumbuka theory of continental drifting, wakati wa GHARIKA kulikua na Bara moja tu kubwa Super Continent, linaitwa PANGAEA, na proof ya hili angalia Madagasca, utaona imemeguka kutoka Pwani ya Msumbiji, na angalia South America, imemeguka kutoka Africa etc!Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?
Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Mambo ya Imani huwa hayachambuliwi hivyo ndugu yangu !! ukifikia hatua hiyo ni kheri uwe mpagani (non believer)Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?
Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
yes hata wewe mbegu kuingia hadi kutunga mimba na kisha ukatoka ukilia huku ukisaka nyonyo bila kufundishwa ni hadithi ya abunuasi.Bado mnaamini tu hadithi za abunuasi?
Walitawanyika na kuzalianaTafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?
Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Walitawanyika na kuzalianaTafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?
Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?
Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Itakuwa hawakufa viumbe wote, wengine walipona wakazalianaBaada ya maji kukauka, Mungu aliendelea na uumbaji