instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣
Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa faraja badala ya huu ukimya.
Anyway: Binadamu tumeumbiwa madeni usiogope kukopa.
Nawatakieni kaz njema