instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Si lazima uelewe Kila kituHueleweki
Piga kazi nduguUmeandika upupu ποΈ
sherehe za kati ya wiki hua zinapandisha watu sukari sana dah πWahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)π€£
Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa faraja badala ya huu ukimya.
Anyway: Binadamu tumeumbiwa madeni usiogope kukopa.
Nawatakieni kaz njema
Noma sanasherehe za kati ya wiki hua zinapandisha watu sukari sana dah π
SijuiKwani mshahara wa mwezi huu umetoka...?
Shida Mkuu,Leo nilikua sehemu,wadau wanaulizana mbona haifanyi kazi!ππ Ila hii life aisee,just imagine tarehe 24 mtu ashakopa salary advance.