Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

IQ yake Padre Kitima inalinganishwa na ya Hayati Nyerere, Hayati Mkapa, Wayahudi ( Waisraeli ), Watutsi kutoka nchini Rwanda na yake All - Rounder tu, ila kwa Wanaomchukia ( hasa Watawala ) pamoja na Wasemaji Wao na Wapuuzi wenzao ( kama Wewe ) hawamfikii ( hamumfikii ) kabisa. Namkubali mno Father Kitima na nalipenda hadi Kuliamini Kanisa langu la Katoliki duniani.
 
Wewe ni mpumbavu na kama kanisa letu nalo linabariki mada hii pia ni pumbavu. Serikali haina dini. Kwanza hizo dini ujue zililetwa kama ulivyoletwa Ukoloni, Utumwa na Democrasia.
Shahawa zilizokuleta duniani zilikuwa na Funza pamoja na Fungus wengi.
 
Ujui guest house, zilikuwepo/zipo karne kabla ya kuzaliwa masihi!! Ata bikira mariamu angemzaa masihi kwenye nyumba ya wageni, ni vile tu walikuta vyumba vimejaa.
 
Wafu wenyewe ni mapadre na masister, nakukumbusha tuu.
 
Mbona hawa fungi ibada za mikusanyiko ya watu? Wanatuchanganya hawa makasisi! Kama wanajali, basi wazuie misa zote na shughuli za mazishi wazisitishe!
Hapo tutajua wako serious! Lakini maneno tu, ni kuchongansha serikali na umma! Wametumwa.
Jibu la swali lako unaweza kujibiwa na mseminari mwaka wa 1 na majibu yenyewe hata prof. akashindwa kujijitetea, kwahiyo nakushauri uachane na mapadre wale ni habari nyingine
 
Unachotakiwa kujua ni kuwa kila jimbo katoliki lina mamlaka yake kamili yawezekana yapo majimbo yakawa na mtazamo tofauti.
 
Yule Fr. yuko fiti kichwani
 
Nadhani ni wakati muafaka kabisa Viongozi wa Kanisa wakubali tu kuendesha ibada kikamilifu kama tulivyozoea na kumalizia "Twendeni na amani ya bwana". Watu wasambaratike.
Hakuna cha kiongozi wa serikali kutoa hotuba wala kusalimia waumini! ikilazimu basi I'we nje ya kanisa uwanjani atakayetaka asikilize asiyetaka aendelee na yake.
Tushachoka sivyo tutaanza kuingia ibada yofauti na hatimaye ibada anayoingia iwe imepwaya nadhani kitaeleweka.!
 
Huu ndio ushahidi unaoutumia kukashifu waislamu zaidi ya milioni 25 Tanzania? Kweli?
Mkuu hapo hawasemwi Waislamu, Wanasemwa bakwata.
Waislamu na uislamu haunaga shida, shida Ni bakwata ndiyo wanaoukashifu uislamu
 
Wewe utakuwa ulileta uhuni wako seminari wakakutimua, au ulikuwa Padri ukaleta uhuni ukatimuliwa. Una bitterness na Kanisa katoliki utaondoka utaliacha. Eti Kanisa siyo jengo kwani Nani kakuambia Kanisa katoliki Ni jengo?!! Na je ni jumuiya ipi ya kiimani ambayo haina jengo?
 
Hivi bakwata wao hawajazungumza

Ova
Bakwata hawawezi zungumza Ila navojua waislamu watazungumza mda wowote. Tuwasubiri Waislamu wazungumze, hiyo Jumuiya ya ssm achana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…