kanisa linawafunga sana akili sio siri huwezi fikiri nje ya box hata kidogo mpaka uwe mjanja sana na uwe ushaona vingi ndo unaweza kufikiri na kutafakari vizuri, umebatizwa una mieizi 6 hata baba yako humjui sembuse mungu umekulia ktk kafundisho na imani ya kikristo ukaaminishwa tangu utotoni, ni ngum sana kuvunja hizo chains
kwa reference hiyo hiyo ya kwako cha kwanza kanisa ni jumuiya ya watu walioipokea habari njema juu ya kristo kutubu dhambi zao na kumrejea mungu, kanisa sio jengo, petro alipewa mamlaka ya kusimamia uenezaji wa injili akisaidiana na wale mitume wengine, na wala biblia haisemi hilo kanisa litaitwa kanisa katoliki. kanisa katoliki limejimilikisha imani na kuaminishawatu waondo walipewa kanisa wakati imani ni kitu huru kama hewa, na wala halisemi kwamba kutakua na dini itakayoitwa ya kikristo, hata paulo katika nyaraka zake anatumia neno "kanisa", kwa kanisa la antiokia,galatia n.k na sio "wakristo"
na aliyesema hao waliobatizwa waitwe wakristo ni nani???