Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Nilitegemea ungeweka ilo tamko/msimamo wa kanisa ndio I
iwe kitu cha kujadiliwa, badala yake unatoa vitisho Kwa serikali, sidhani ata kama hilo tamko limeitisha serikali Kwa namna yoyote sababu nguvu ya serikali yoyote kila mtu anaifahamu. Hakuna serikali dhaifu
 
Mpumbavu
 
Hivi kuwa na kumbi za starehe, guest houses ni dhambi? Hizi imani hizi....
 
Na hapo usikute umehamia kwenye makanisa ya kuuza mafuta ya upako, vitambaa vya upako, maji ya upako, vitambaa vya upako nk halafu unasema /unalaumu kanisa kufanya biashara
hapana ndugu, dini ni uongo uliotukuka , hata yesu mwenyewe hakua mkatoliki
 
Kumbe nao no magaidi, nilifikiri ni Mashekhe tu ndio huwa magaidi wanapoikosoa Serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…