Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Nilitegemea ungeweka ilo tamko/msimamo wa kanisa ndio I
iwe kitu cha kujadiliwa, badala yake unatoa vitisho Kwa serikali, sidhani ata kama hilo tamko limeitisha serikali Kwa namna yoyote sababu nguvu ya serikali yoyote kila mtu anaifahamu. Hakuna serikali dhaifu
 
Mpumbavu
Mimi ndo maana sina dini kwa kweli, kwa hiyo unataka kusema hili kanisa linataka kuingia war-mode na serikali eti??? Hata yesu alisema acheni wafu wazike wafu wao, ya kaisari wamuachie kaisari.

Kama wanajali sana dini yao waache kufungua ma bar na kumbi za starehe wakaeneze injili! siku hizi makanisa yanamiliki hadi guest houses

Ni ushenzy mtupu, by the way maisha yangu nimekua mkatoliki mpaka pale nilipoona ukatoliki ni ujinga tu! MUNGU HANA DINI WALA YESU HAKULETA DINI
 
Hivi kuwa na kumbi za starehe, guest houses ni dhambi? Hizi imani hizi....
 
Na hapo usikute umehamia kwenye makanisa ya kuuza mafuta ya upako, vitambaa vya upako, maji ya upako, vitambaa vya upako nk halafu unasema /unalaumu kanisa kufanya biashara
hapana ndugu, dini ni uongo uliotukuka , hata yesu mwenyewe hakua mkatoliki
 
Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina Nguvu ya 75% ndani ya Watanzania wengi na hata katika Kuamua Tawala ( za Kisiasa ) katika nchi hii. Wenye Akili najua kwa hili mtakuwa mmenielewa mno tu.

Asije kutokea Mwanasiasa yoyote kwasababu tu ya Ushamba na Ujuha wake au Chuki zake na Ukatili wake wa Asili akathubutu kutaka ama Kuwatisha au Kulipiza Kisasi Kanisa Katoliki na Msimamo wao walioutoa Jana au watakaoendelea Kuutoa.

Ukiwagusa tu pabaya Kanisa Katoliki jua umeigusa Nguvu moja Kubwa yenye Mamlaka ya Kiimani si tu Tanzania bali hata duniani ( ulimwenguni ) kote. Kanisa Katoliki likiamua nchi isitawalike au Mtawala aone Ikulu ni pamoto au Kumjengea Chuki kwa Watawaliwa wanaweza na Kufanikiwa. Mifano ya hii iko mingi kwa mfuatiliaji mzuri wa Masuala Mtambuka yanayoendelea au yaliyotokea huko nyuma.

Nimelisema hili mapema hivi baada ya Kudokezwa kuwa yupo Mwanasiasa Mmoja amechukizwa na Msimamo wao Thabiti wa jana hivyo anataka Kuwakomoa katika Taasisi zao za Elimu na Tina nchini hasa kupitia Misamaha yao ya Kodi au Fursa fulani fulani. Nawaonya ( Namuonya ) huyo ( huyu ) Mwanasiasa kuwa All - Rounder nasema asije Kuthubutu kwani ataharibu zaidi kuliko Kujenga. Akubali ukweli na ashirikiane nao kiukaribu kwa Maslahi mema na Ustawi wa Tanzania yetu hii.

Heko sana Kanisa Katoliki Tanzania.
Kumbe nao no magaidi, nilifikiri ni Mashekhe tu ndio huwa magaidi wanapoikosoa Serikali
 
Back
Top Bottom