Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Mbona hawa fungi ibada za mikusanyiko ya watu? Wanatuchanganya hawa makasisi! Kama wanajali, basi wazuie misa zote na shughuli za mazishi wazisitishe!
Hapo tutajua wako serious! Lakini maneno tu, ni kuchongansha serikali na umma! Wametumwa.
 
Hawana madhara hawa ni "DEBE TUPU" Waislamu nchi hii ndio wanaoogopesha.

Katibu wa SHURA YA MAIMAMU Sheikh Issa Ponda Issa akinyanyua mdomo tu hata kuunga mkono, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, lazima jasho la kwapa liwatoke.
 
kwa taaarifa yako katoliki ni taasis sio tu kanisa.
mkulu mwenyewe hawez tamka chafu mbele ya taasis kama catholic.
ya kanisa yabaki kanisani na siasa zibaki siasa
Waambie wafunge misa ili kuwanusuru watu na corona.
 
wewe ndo unawaza ngono, guest house=biashara na biashara si misingi ya utume
Polr sana kwa kuoungua uelewa wa neno la Mungu. Tangu kale, tangu enzi za mitume, kanisa lilifanya biashara ili kujitegemeza na kuwategemeza waumini ambao hawakuwa na uwezo.

Msiwe mnaropoka mambo msiyoyajua. Waumini wa kale ambao hawakuwa na hela na walitaka kuwasaidia wasio na uwezo, walitoa viti vyao na kuvipeleka kanisani. Vitu hivyo viliuzwa (walifanyiwa biashara), hela iliyopatikana ilitumikabkuwasaidia wasio na uwezo na kuwategemeza watumishi wa Mungu.
 
biblia inasema nn juu ya kanisa kufanya biashara?
 
Acha uoga, none of them can stop the time, hatuogopi Corona sembuse iwe hao Warumi? Na mapuppet wao...
 
Kiburi cha uzima umekivaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…