Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Sio siku hizi.kanisa katoliki linafanya biashara mbalimbali mahoteli ya kiafahari ulaya na amerika miaka mingi.wanamiliki hisa kwenye makampuni ya kimataifa,hospital,shule futilia shule zinazofanya vizuri. ndio maana wameendelea kuneza injili ,kutoa misaada kwa wahitaji.Yesu mwenyewe alipiga mvinyo So what?
Rejea maelezo yangu hapo juu.Alafu ujiulize kama hatua hiyo ni sahihi.Huwezi kupambana na kanisa catholic mkuuToeni hilo Kanisa lenu halafu tuone tutashindwa kuishi?