Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Toeni hilo Kanisa lenu halafu tuone tutashindwa kuishi?
Rejea maelezo yangu hapo juu.Alafu ujiulize kama hatua hiyo ni sahihi.Huwezi kupambana na kanisa catholic mkuu
 
Muulize why Magu ili apitishwe ccm ilibidi arudi kanisa catholic alipokuwa hayupo kitambo akitangatanga kwenye makanisa ya kipentekoste? catholic ni mafia hawa, ni zaidi ya serikali hao!!
HUJUI KITU KAA KIMYA
 
Mpuuzi kweli wewe, unaposema Yesu hakuleta dini ukristu/ukatoliki umetoka wapi? Rudi haraka ukatubu dhambi zako kabla hujafa ndugu.Huwezi sema eti Mungu hana dini wakati huyo Mungu umemjua kupitia dini kwa kufundishwa!
 
Hakuna serikali yenye nguvu zaidi ya kanisa.Maana hata jeshini kuna waumini wakatoliki linalofuata mamlaka ya Papa, Vatican.Hivyo kwenda kinyume na kanisa ni mwanzo wa kuanza kujitengenezea vikundi vya waasi.
 
Toeni hilo Kanisa lenu halafu tuone tutashindwa kuishi?
Wewe mwenyewe umeelewa ulichokiandika?
Tutashindwa?...wewe na nani..labda wewe na familia yako...ewe kapuku kiongozi.
 
Hakuna serikali yenye nguvu zaidi ya kanisa.Maana hata jeshini kuna waumini wakatoliki linalofuata mamlaka ya Papa, Vatican.Hivyo kwenda kinyume na kanisa ni mwanzo wa kuanza kujitengenezea vikundi vya waasi.
Hujui serikali inavyofanya kazi kaa kimya.
 
KKKT nao wamekoleza wapepiga pale pale kwenye mshono kudadadeq
 
Usichezee ubwabwa aisee
Hiyo picha inajieleza na alifikia hatua ya kumfananisha jiwe na mtume
Vp unaongeleaje na hilo
Hiyo picha ndio inawakilisha Dini nzima? wazazi wako wana hasara kubwa sana kuzaa kiazi kama wewe,

Unajua maana ya mtume?
Unaliongeleaje na yule aliyeita Mungu?
 
hata masihi na mitume wake walifanya hivyo pia
 
Muulize why Magu ili apitishwe ccm ilibidi arudi kanisa catholic alipokuwa hayupo kitambo akitangatanga kwenye makanisa ya kipentekoste? catholic ni mafia hawa, ni zaidi ya serikali hao!!
nadhani mtoa post hawafaham hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…