Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Sijasema wote
Niambie kwanini huyu shekhe wa dar alikuwa anaongozana na makonda kila sehemu, na baada ya makonda kukaa bench alimponda kwa maamuzi yake na urafiki wao umeisha kwa Sasa ?
Uislam na waislamu sio issue za Makonda na huyo, hivyo fikiri kwanza unapotaka kuleta kitu hadharani
 
Mpuuzi kweli wewe, unaposema Yesu hakuleta dini ukristu/ukatoliki umetoka wapi? Rudi haraka ukatubu dhambi zako kabla hujafa ndugu.Huwezi sema eti Mungu hana dini wakati huyo Mungu umemjua kupitia dini kwa kufundishwa!
yesu hakuleta dini ndugu, alileta imani watu wamrudie mungu, watu wamuamini tena mungu, wala yeye hakua mristo! Hakuna sehemu ktk biblia inasema mungu ni mkristo au ana dini
 
Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina Nguvu ya 75% ndani ya Watanzania wengi na hata katika Kuamua Tawala ( za Kisiasa ) katika nchi hii. Wenye Akili najua kwa hili mtakuwa mmenielewa mno tu.

Asije kutokea Mwanasiasa yoyote kwasababu tu ya Ushamba na Ujuha wake au Chuki zake na Ukatili wake wa Asili akathubutu kutaka ama Kuwatisha au Kulipiza Kisasi Kanisa Katoliki na Msimamo wao walioutoa Jana au watakaoendelea Kuutoa.

Ukiwagusa tu pabaya Kanisa Katoliki jua umeigusa Nguvu moja Kubwa yenye Mamlaka ya Kiimani si tu Tanzania bali hata duniani ( ulimwenguni ) kote. Kanisa Katoliki likiamua nchi isitawalike au Mtawala aone Ikulu ni pamoto au Kumjengea Chuki kwa Watawaliwa wanaweza na Kufanikiwa. Mifano ya hii iko mingi kwa mfuatiliaji mzuri wa Masuala Mtambuka yanayoendelea au yaliyotokea huko nyuma.

Nimelisema hili mapema hivi baada ya Kudokezwa kuwa yupo Mwanasiasa Mmoja amechukizwa na Msimamo wao Thabiti wa jana hivyo anataka Kuwakomoa katika Taasisi zao za Elimu na Tina nchini hasa kupitia Misamaha yao ya Kodi au Fursa fulani fulani. Nawaonya ( Namuonya ) huyo ( huyu ) Mwanasiasa kuwa All - Rounder nasema asije Kuthubutu kwani ataharibu zaidi kuliko Kujenga. Akubali ukweli na ashirikiane nao kiukaribu kwa Maslahi mema na Ustawi wa Tanzania yetu hii.

Heko sana Kanisa Katoliki Tanzania.
Sawa
 
Dunia husisan Tanzania ina mijinga mingiii na mmoja wapo tena anaweza kua Kiongozi wao ni huyu alieandika mavimavi hapa, yaani unaona umeandika cha maana kweli, eti kanisa linaamua nani atawale? We ndio kilaza wa mwisho kweli, kanisa ni taasisi kama zilivyo nyingine tu na hakuna mnaweza fanya wewe na hao wavaa mapembe wenzio acha kutapiga maharage ya hapo kwa shemeji unakolala na kula bure
 
umeguswa pabaya toa hoja acha kutapika Mbege
 
biblia haiimizi kanisa kufanya biashara ndugu
Wewe mtoto kwa hiyo na shule za kanisa nazo zifundishe bila kutoza ada? kwanini una stick kwenye biashara na sio huduma? au unapenda huduma ya bure isiyo na quality ambayo pesa za kuiendeshea hujui zinatoka wapi?
 
Mimi ndo maana sina dini kwa kweli, kwa hiyo unataka kusema hili kanisa linataka kuingia war-mode na serikali eti??? Hata yesu alisema acheni wafu wazike wafu wao, ya kaisari wamuachie kaisari.

Kama wanajali sana dini yao waache kufungua ma bar na kumbi za starehe wakaeneze injili! siku hizi makanisa yanamiliki hadi guest houses

Ni ushenzy mtupu, by the way maisha yangu nimekua mkatoliki mpaka pale nilipoona ukatoliki ni ujinga tu! MUNGU HANA DINI WALA YESU HAKULETA DINI
Pole ndugu yangu umezibwa na shetani kiasi hicho. Kama uliona catholic wanaenda kinyume basi kwann usingejikita kuutafuta ukweli kuliko kuconclude hvo kirahisi? Mungu akutie nguvu usije ukapotea upotevuni kwasababu ya background fulani. Amen.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Haya mkuu ngoja tuone na msimamo wa Bakwata!

Hao wao hata kama ukiwa ni kama wa CCM wala haitupi taabu.

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.

Kongole kanisa Catholic kwa uthubutu wenu.

Kaisari au Mungu magoti yatapigwa kwa Mungu si kaisari!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
yesu hakuleta dini ndugu, alileta imani watu wamrudie mungu, watu wamuamini tena mungu, wala yeye hakua mristo! Hakuna sehemu ktk biblia inasema mungu ni mkristo au ana dini
Usijitoe ufahamu ndugu au kutaka kujifanya mjuaji.Huyo Mungu uliyefundishwa habari zake bila shaka unaamini ndiye aliyemtuma mwanae (Yesu kristu) aje aokoe watu wake naye akateua mitume 12 (Mmoja akiwa Petro ambaye alimwambia atalijenga kanisa lake juu yake)

Nanukuu:

MT 16:3

Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? 14Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. 15Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. 17Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. 18Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni. 20Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu ye yote ya kwamba yeye ndiye Kristo.

Mwisho wa kunukuu

akawapa mafundisho ya kiimani kisha akawaambia nendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili na kuwabatiza watu ili wamrudie Mungu katika imani na hao waliobatizwa unajua waliitwaje? Wa-Kristu yaani watu wanaomfuata Yesu na mafundisho yake.Sasa unaposema Yesu hakuleta dini hao Wa-kristu ni kina nani? Kwanza unaelewa maana ya dini? Huyo Yesu mwenyewe au Mungu usingemjua pasipo dini yako iliyokufundisha mpaka sasa umekuwa mkubwa ndio umepata jeuri ya kuhoji.
 
Unaonekana una akili sana hadi umewazidi wazazi wako mkuu.
Mzazi sio wa kuabudiwa ila Mungu mzazi ni binadamu ila anapaswa kuheshimiwa. Nd maan bible inasema kila mtu atabeba mzigo wake sio na mwanae. Yesu alisema mama yangu na ndugu zangu ni wale tu wanaosiki na kushika neno la bwana.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Usijitoe ufahamu ndugu au kutaka kujifanya mjuaji.Huyo Mungu uliyefundishwa habari zake bila shaka unaamini ndiye aliyemtuma mwanae (Yesu kristu) aje aokoe watu wake naye akateua mitume 12 (Mmoja akiwa Petro ambaye alimwambia atalijenga kanisa lake juu yake)

Nanukuu:

MT 16:3

Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? 14Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. 15Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. 17Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. 18Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni. 20Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu ye yote ya kwamba yeye ndiye Kristo.

Mwisho wa kunukuu

akawapa mafundisho ya kiimani kisha akawaambia nendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili na kuwabatiza watu ili wamrudie Mungu katika imani na hao waliobatizwa unajua waliitwaje? Wa-Kristu yaani watu wanaomfuata Yesu na mafundisho yake.Sasa unaposema Yesu hakuleta dini hao Wa-kristu ni kina nani? Kwanza unaelewa maana ya dini? Huyo Yesu mwenyewe au Mungu usingemjua pasipo dini yako iliyokufundisha mpaka sasa umekuwa mkubwa ndio umepata jeuri ya kuhoji.
Umenena vizuri ila hapo mwamba hakuzungumziwa petro ndugu. Elewa matumiz ya nafsi hapo. Huwezi ukasema wewe ndiwe petro na juu ya mwamba huu ukasema hapo mwamba awe petro tena. Kingine rejea kwenye bible mwamba anajulikana ni yeye kristo hata usitumie nguvu nying sana ukisikia mwamba kwenye jua ni kristo.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina nguvu ya 75% ndani ya Watanzania wengi na hata katika Kuamua Tawala (za Kisiasa) katika nchi hii. Wenye Akili najua kwa hili mtakuwa mmenielewa mno tu.

Asije kutokea Mwanasiasa yoyote kwasababu tu ya Ushamba na Ujuha wake au chuki zake na Ukatili wake wa Asili akathubutu kutaka ama Kuwatisha au Kulipiza Kisasi Kanisa Katoliki na Msimamo wao walioutoa jana au watakaoendelea kuutoa.

Ukiwagusa tu pabaya Kanisa Katoliki jua umeigusa Nguvu moja Kubwa yenye Mamlaka ya Kiimani si tu Tanzania bali hata duniani (ulimwenguni) kote. Kanisa Katoliki likiamua nchi isitawalike au Mtawala aone Ikulu ni pamoto au Kumjengea Chuki kwa Watawaliwa wanaweza na Kufanikiwa. Mifano ya hii iko mingi kwa mfuatiliaji mzuri wa Masuala Mtambuka yanayoendelea au yaliyotokea huko nyuma.

Nimelisema hili mapema hivi baada ya Kudokezwa kuwa yupo Mwanasiasa Mmoja amechukizwa na Msimamo wao Thabiti wa jana hivyo anataka Kuwakomoa katika Taasisi zao za Elimu na Tina nchini hasa kupitia Misamaha yao ya Kodi au Fursa fulani fulani. Nawaonya (Namuonya) huyo (huyu) Mwanasiasa kuwa All - Rounder nasema asije Kuthubutu kwani ataharibu zaidi kuliko Kujenga. Akubali ukweli na ashirikiane nao kiukaribu kwa Maslahi mema na Ustawi wa Tanzania yetu hii.

Heko sana Kanisa Katoliki T deanzania.
Kanisa kubwa lisiloamini nguvu za Mungu!! Lina mfano wa utakuwa lakini linakana nguvu za Mungu! Tumeonywa na neno la Mungu kujiepusha nalo.
 
Back
Top Bottom