Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hata kuanzia tarehe 11/9/2024 mlipotangaza maandamano mlisema Rais hana ubavu wa kuyazuia maandamano yenu. Leo ni tarehe 23/9/2024 kiko wapi? Ahahahahaha! Na 2025 sio mbali!!!Huyu atang'olewa kirahisi sana 2025, Ni mwepesi kuliko pamba, Rais wa Nchi anategemea Shilole na Steve Nyerere wampe nchi! Uliona wapi?
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Hawajui watupe kesi gani, Muliro hana uwezo na tutahakikisha anang'olewa Dar es Salaam, Tupe wiki moja tu
Huyu atang'olewa kirahisi sana 2025, Ni mwepesi kuliko pamba, Rais wa Nchi anategemea Shilole na Steve Nyerere wampe nchi! Uliona wapi?
Hata kama Mungu ataamua kumuondoa, bado vitendo viovu vya Utekaji, utesaji na Mauaji vitaendelea kutokea hapa TanzaniaMungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.
Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.
Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Uzuri Mungu ni fundi sana.Magufuli aliteka, alitesa na mwisho kuua! Leo Magufuli amezikwa chato kwao.
Serikali hii ya kiuaji na kitekaji iliyorithi kwa Magufuli iwe MAKINI
Waandamane na wao sasa🤣🤣🤣Muliro awalipe Polisi wa Watu, Askari wa Watu wako Mjini hawajapewa hata Mia Hadi muda huu.
Wataanza kujiuza Mjini hapa. Walipeni stahiki zao
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Wazungu si wema kwa CDM ila wema kwa mtu ambae tunaambiwa anafungua nchi kwa kwenda kwa wenzetu (wazungu) kutafuta miradi mpaka mtu anakaa zaidi ya wiki ulayaHawa jamaa akili zao zote ziko kwa wazungu / wazungu si wema sana, shauri yenu.
Na hatutaacha KUMUOMBA hata aamue huu ugomvi.Uzuri Mungu ni fundi sana.
Moja ongeza mbili ni tatuNdugu zetu waliotekwa na wengine kuuwawa Haki imetendeka na kuhakikishiwa kwamba mambo haya yanaacha kutokea ?
Mbona tunajiliwaza na vitu petty na kuridhika na mambo madogo kwa kujipa ushindi usio na faida ? Ni nini kimebadirika for the better kabla na baada ya hizi songombingo....
iko chama ni cha wazungu mm nilikuwa nakikubali sana ila kuna ujinga unaendelea chademaHiki chama baada ya wananchi kukipuuza kunakuwa pandikizi la wazungu
Bila Wazungu waafrica wote mngeuawa na familia za viongozi, nina hakika hujawahi kugusa Ulaya na ndio maana umeuliza swali lako la kijinga, mimi hata leo ninaishi huko najuahivi mkuu una akili timamu mzungu ni mwema?
Jumiya ya UARABUNI 😡😡Jumuiya ipi hiyo kamanda?
wewe hujakamatwa?Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Hawakuwa na uwezo huowewe hujakamatwa?