Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

Huyu atang'olewa kirahisi sana 2025, Ni mwepesi kuliko pamba, Rais wa Nchi anategemea Shilole na Steve Nyerere wampe nchi! Uliona wapi?
Hata kuanzia tarehe 11/9/2024 mlipotangaza maandamano mlisema Rais hana ubavu wa kuyazuia maandamano yenu. Leo ni tarehe 23/9/2024 kiko wapi? Ahahahahaha! Na 2025 sio mbali!!!
 
Ndugu zetu waliotekwa na wengine kuuwawa Haki imetendeka na kuhakikishiwa kwamba mambo haya yanaacha kutokea ?

Mbona tunajiliwaza na vitu petty na kuridhika na mambo madogo kwa kujipa ushindi usio na faida ? Ni nini kimebadirika for the better kabla na baada ya hizi songombingo....
 
View: https://youtu.be/bjOqxIRqzbQ?si=I3n58zYefCBrdfwK

Baadhi ya maneno yaliyopo kwenye huu wimbo-

Ndugu yangu tizama unakokwenda,
Vilevile ukumbuke ulikotoka,.....

Hicho cheo ulichonacho ni dhamana,
Usisahau mpanda ngazi ushuka,.....

Usiwatese binadamu wenzio,
Aliowanyima ndiye yeye aliyekupa....

Hao makatili waliotikisa Dunia, wako wapi,
Mbona nao wametoweka

Sasa wewe ndugu yangu nini,
Dunia umeiikuta,
Na wewe utaiacha,
Ubaya utakusaidia nini?

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.

Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.

Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Hawajui watupe kesi gani, Muliro hana uwezo na tutahakikisha anang'olewa Dar es Salaam, Tupe wiki moja tu
Huyu atang'olewa kirahisi sana 2025, Ni mwepesi kuliko pamba, Rais wa Nchi anategemea Shilole na Steve Nyerere wampe nchi! Uliona wapi?
Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.

Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.

Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Hata kama Mungu ataamua kumuondoa, bado vitendo viovu vya Utekaji, utesaji na Mauaji vitaendelea kutokea hapa Tanzania
 
Vijana wa dar mmeaibisha taifa yaani mnawaogopa sungusungu kweli mbowe aje huku simiyu tutaandamna tu hakuna wa kututisha huyo muliro ni mwepesi kama pamba..
 
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.

Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.

Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
IMG-20240923-WA0050.jpg
 
Hawa jamaa akili zao zote ziko kwa wazungu / wazungu si wema sana, shauri yenu.
Wazungu si wema kwa CDM ila wema kwa mtu ambae tunaambiwa anafungua nchi kwa kwenda kwa wenzetu (wazungu) kutafuta miradi mpaka mtu anakaa zaidi ya wiki ulaya
 
Ndugu zetu waliotekwa na wengine kuuwawa Haki imetendeka na kuhakikishiwa kwamba mambo haya yanaacha kutokea ?

Mbona tunajiliwaza na vitu petty na kuridhika na mambo madogo kwa kujipa ushindi usio na faida ? Ni nini kimebadirika for the better kabla na baada ya hizi songombingo....
Moja ongeza mbili ni tatu
 
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.

Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.

Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
wewe hujakamatwa?
 
Unajiskiaje wakikukuta wewe uko uraiani uliwasaliti kwenye maandamano hujatokea?
 
Back
Top Bottom