Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #121
Ila Waarabu tuliowauzia Bandari zote ni Wazuri!Kuachiwa kwa dhaman ni haki yao kisheria lakini kuwasifia wazungu eti wameshinikiza na kumwobea dua nzuri aliyekutawala,akakunyonya,akakudhalilisha,akakuibia na mali ghafi zako ni hatua nyingine ya utumwa na ujinga wa kizazi chetu hiki.Hawashinikizi ili wapate dhamana eti wanawapenda sana,hapana.Ni iwapo wataingia madarakani waanze kuvuna tena na kuiba kwani watawafanya vibaraka wao. Pamoja na kushinikaiza kwao wapate dhamana,Mwenyezi Mungu azidi kuwalani wazungu hawa kwa yote maovu waliyofanya huko nyuma.Ni majizi tu,hayana wema wowote.Laana-tu-llah illaih !!
Hakuna mzuri hata mmoja, sio mwarabu wala Mreno hakuna anayestahali kuombewa dua kwa lolote.Wote walaaniwe.Wakifanya mazuri sasa ni kujipendekeza kwao lakini waliyotufanyia hayasameheki.Ila Waarabu tuliowauzia Bandari zote ni Wazuri!
Two wrongs donβt make anything rightIla Waarabu tuliowauzia Bandari zote ni Wazuri!
Walikuwa na Kaz maalumuKwanini wewe na mnyika hamjakamatwa?
Usimuamshe anayekoromaWalikuwa na Kaz maalumu
Mwambie mama yako aache kwenda kuomba ombaHouse nigger anapojipa matumaini ya uongo.Dhamana ni haki ya mtuhumiwa kutegemeana na kesi anayotuhumiwa nayo.
Mabeberu unaodai wametoa shinikizo wangeshinikiza kama wanaweza muandamane.
Uncle Tom hiyo ni wishful thinking hakuna yeyote anayeweza kutushinikiza kwa lolote lile.
Ukoloni mamboleo muda wake umekwisha.
Wewe ni house nigger tu.Ndio maana hoja zimekushinda umebakia kutukana. Watu wanajiuliza ulikuwa wapi kwenye maandamano wamesahau kuwa wewe ni kijakazi wa Sugu.Mwambie mama yako aache kwenda kuomba omba
Huyu zwazwa hana uwezio wa kutafakari mada.Huwa anaelekezwa cha kufanya.Two wrongs donβt make anything right
Kama wewe ni mtu mzima na boya kihivyo, Nora mimi niendelee kuwa Mtoto wa Shule!mtoto wa darasani, soma sana usaidie taifa kupunguza wajinga
wakusomaKama wewe ni mtu mzima na boya kihivyo, Nora mimi niendelee kuwa Mtoto wa Shule!
πππππ shinikizo la kimataifa ndio nini?View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Soma Pia:
Joined 6/9/2024πππππ shinikizo la kimataifa ndio nini?
Umezingua sana chawaView attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Soma Pia:
Hairuhusiwi?Joined 6/9/2024
ila watanzania ndo wema sanaHawa jamaa akili zao zote ziko kwa wazungu / wazungu si wema sana, shauri yenu.
SHINIKIZO LA KIMATAIFA LIPI HILO MBONA MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE?View attachment 3104786