Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

Kuachiwa kwa dhaman ni haki yao kisheria lakini kuwasifia wazungu eti wameshinikiza na kumwobea dua nzuri aliyekutawala,akakunyonya,akakudhalilisha,akakuibia na mali ghafi zako ni hatua nyingine ya utumwa na ujinga wa kizazi chetu hiki.Hawashinikizi ili wapate dhamana eti wanawapenda sana,hapana.Ni iwapo wataingia madarakani waanze kuvuna tena na kuiba kwani watawafanya vibaraka wao. Pamoja na kushinikaiza kwao wapate dhamana,Mwenyezi Mungu azidi kuwalani wazungu hawa kwa yote maovu waliyofanya huko nyuma.Ni majizi tu,hayana wema wowote.Laana-tu-llah illaih !!
Ila Waarabu tuliowauzia Bandari zote ni Wazuri!
 
Ila Waarabu tuliowauzia Bandari zote ni Wazuri!
Hakuna mzuri hata mmoja, sio mwarabu wala Mreno hakuna anayestahali kuombewa dua kwa lolote.Wote walaaniwe.Wakifanya mazuri sasa ni kujipendekeza kwao lakini waliyotufanyia hayasameheki.
 
House nigger anapojipa matumaini ya uongo.Dhamana ni haki ya mtuhumiwa kutegemeana na kesi anayotuhumiwa nayo.
Mabeberu unaodai wametoa shinikizo wangeshinikiza kama wanaweza muandamane.
Uncle Tom hiyo ni wishful thinking hakuna yeyote anayeweza kutushinikiza kwa lolote lile.
Ukoloni mamboleo muda wake umekwisha.
Mwambie mama yako aache kwenda kuomba omba
 
Mwambie mama yako aache kwenda kuomba omba
Wewe ni house nigger tu.Ndio maana hoja zimekushinda umebakia kutukana. Watu wanajiuliza ulikuwa wapi kwenye maandamano wamesahau kuwa wewe ni kijakazi wa Sugu.
Sasa Sugu alikuwa amejificha sembuse wewe housegirl!
Uncle Tom mabwana zako wamekupa amri gani?Wewe ni remote control huna uwezo wa kufikiri mwenyewe. Bwege.
 
View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.

Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.

Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.

Soma Pia:
😁😁😁😁😆 shinikizo la kimataifa ndio nini?
 
View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.

Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.

Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.

Soma Pia:
Umezingua sana chawa
 
SHINIKIZO LA KIMATAIFA LIPI HILO MBONA MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE?
 
Back
Top Bottom