Kuachiwa kwa dhaman ni haki yao kisheria lakini kuwasifia wazungu eti wameshinikiza na kumwobea dua nzuri aliyekutawala,akakunyonya,akakudhalilisha,akakuibia na mali ghafi zako ni hatua nyingine ya utumwa na ujinga wa kizazi chetu hiki.Hawashinikizi ili wapate dhamana eti wanawapenda sana,hapana.Ni iwapo wataingia madarakani waanze kuvuna tena na kuiba kwani watawafanya vibaraka wao. Pamoja na kushinikaiza kwao wapate dhamana,Mwenyezi Mungu azidi kuwalani wazungu hawa kwa yote maovu waliyofanya huko nyuma.Ni majizi tu,hayana wema wowote.Laana-tu-llah illaih !!