Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.

Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.

Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Dua ya kuku...
 
Faida ya Taifa ni kumuua Mzee Ally Kibao?
Ninapinga utekaji, mauaji na aina nyingine yoyote ya uhalifu dhidi ya raia. Lazima tuhakikishe wahalifu wote wanaohusika wanapata haki yao.
Lazima tutumie weledi kuwabaini na kuhakikisha kuwa wanapata haki kisheria.
Changamoto kubwa ni kwa walalamikaji kuweka mambo kijumlajumla zaidi.
Faida ya taifa ni kuhakisha hakuna raia anayeuawa kwa v yoyote vile.
 
1727128576488.png

Hao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
🤣🤣🤣🤣 Ni jeshi lipi ilo unalolizungumzia?!! Au unajizima Data?
 
Hao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
Hakuna aliyeandika maelezo, Wote wamekataa, Watayatoa Mahakamani
 
Maskini Mnyika wa watu, kakimbia hadi kaingia kanisani na kachukua biblia anasali humo ndani kwenye altare, anaomba Mungu hiki kikombe kisimfike, mseminari wa watu analazimishwa tu kuandamana..!!
Mnyika hajawahi lala ndani hata kwenye utawala wa Magu. Ni bonge la fisi. Cha muhimu kanisa likague kama ile mikate ya bwana na mvinyo viko salama.
 
Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.

Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.

Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Tatizo ni mfumo ndio una waruhusu, na huo mfumo uondoke
 
Hao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
According to maelezo yao wamekataa kujibu chochkte hivyo watayajibu mahakamani. Kwa hiyo. Goma bado ni moto
 
View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.

Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.

Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.

Soma Pia:
Wahuni tu!
 
Hua sielewi kabisa kuwa ni kwa nini viongozi wa polisi hua wana chuki ya wazi kabisa na wapinzani wa CCM.
Yaani wao sio wanasiasa lakini linapokuja suala la CCM kuzidiwa na wapinzani basi utaona hasira kubwa sana ya viongozi wa polisi . Yaani ni bora wasikie hata benki kuu imevunjwa wanachelewa kufika lakini wakisikia Mbowe ana mkutana watafika ndani ya sekunde .

Hii sio sawa.

Inatakiwa jinai zinazofanyika sasa ziwekwe akiba siku moja hata makaburi yao yashitakiwe mahakamani mmoja wapo Akiwa ni Mahita na Mafwere ,Awadhi'
 
Kama kweli walikuwa na nia ya kweli ya kuandamana na siyo usanii watangaze kuendelea na maandamano hapo kesho
huijui siasa wewe kuwa inachanganya na usanii. Kama hujui angalia wanasiasa wanavyoomba kura kipindi cha kampeni. Walichokifanya chadema wamefanikiwa kwa mazingira ya sasa. Na jambo hili sasa litajadiliwa siku kadhaa zijozo na huko mahakamani. Kifupi chadema inaimbwa masikioni mwa watu hii ni faida kisiasa.
 
Hata kuanzia tarehe 11/9/2024 mlipotangaza maandamano mlisema Rais hana ubavu wa kuyazuia maandamano yenu. Leo ni tarehe 23/9/2024 kiko wapi? Ahahahahaha! Na 2025 sio mbali!!!
kamalizie home work zako, ndio uje ujifunze siasa. kinachotokea sasa ndio CDM walipanga. Kwani ulifikili uoga wa watu kuandamana kwa hapa nchini chadema hawaujui.
 
Rais Samia ni mama mwenye huruma sana mungu ambariki sana, angekuwa kiongozi mwingine mtata, uliyekaidi maagizo ya serekali yake hakika siku hiyo ungelijua idadi ya nyota zote.
punguza kampeni kwenye mambo ya sheria. weka logic kidogo. Watuhumiwa wamekataa kusema chochote kwenye mahojiano , wanataka mahakamani what next kisheria?
 
Back
Top Bottom