FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Dua ya kuku...Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.
Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.
Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua ya kuku...Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.
Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.
Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Ninapinga utekaji, mauaji na aina nyingine yoyote ya uhalifu dhidi ya raia. Lazima tuhakikishe wahalifu wote wanaohusika wanapata haki yao.Faida ya Taifa ni kumuua Mzee Ally Kibao?
AaahaaaaWalale Unono 🐼
🤣🤣🤣🤣 Ni jeshi lipi ilo unalolizungumzia?!! Au unajizima Data?Hao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
[emoji1787]Muliro awalipe Polisi wa Watu, Askari wa Watu wako Mjini hawajapewa hata Mia Hadi muda huu.
Wataanza kujiuza Mjini hapa. Walipeni stahiki zao
Hakuna aliyeandika maelezo, Wote wamekataa, Watayatoa MahakamaniHao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
Mnyika hajawahi lala ndani hata kwenye utawala wa Magu. Ni bonge la fisi. Cha muhimu kanisa likague kama ile mikate ya bwana na mvinyo viko salama.Maskini Mnyika wa watu, kakimbia hadi kaingia kanisani na kachukua biblia anasali humo ndani kwenye altare, anaomba Mungu hiki kikombe kisimfike, mseminari wa watu analazimishwa tu kuandamana..!!
Tatizo ni mfumo ndio una waruhusu, na huo mfumo uondokeMungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.
Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.
Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
According to maelezo yao wamekataa kujibu chochkte hivyo watayajibu mahakamani. Kwa hiyo. Goma bado ni motoHao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
Hiki ni kifaa cha kutendea kazi tu. Mlaumu anaye kitumia kifaa hicho isivyo kuwa sahihi..Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Wahuni tu!View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Soma Pia:
Hua sielewi kabisa kuwa ni kwa nini viongozi wa polisi hua wana chuki ya wazi kabisa na wapinzani wa CCM.View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Soma Pia:
Ya kimataifaJumuiya ipi hiyo kamanda?
huijui siasa wewe kuwa inachanganya na usanii. Kama hujui angalia wanasiasa wanavyoomba kura kipindi cha kampeni. Walichokifanya chadema wamefanikiwa kwa mazingira ya sasa. Na jambo hili sasa litajadiliwa siku kadhaa zijozo na huko mahakamani. Kifupi chadema inaimbwa masikioni mwa watu hii ni faida kisiasa.Kama kweli walikuwa na nia ya kweli ya kuandamana na siyo usanii watangaze kuendelea na maandamano hapo kesho
kamalizie home work zako, ndio uje ujifunze siasa. kinachotokea sasa ndio CDM walipanga. Kwani ulifikili uoga wa watu kuandamana kwa hapa nchini chadema hawaujui.Hata kuanzia tarehe 11/9/2024 mlipotangaza maandamano mlisema Rais hana ubavu wa kuyazuia maandamano yenu. Leo ni tarehe 23/9/2024 kiko wapi? Ahahahahaha! Na 2025 sio mbali!!!
wewe lala tu na huyo mume wa mtu wenzio wako kaziniMkuu wew uliachiwa muda gani mbona muda wote nakuona JF au huko mahabusu ulipewa simu?
punguza kampeni kwenye mambo ya sheria. weka logic kidogo. Watuhumiwa wamekataa kusema chochote kwenye mahojiano , wanataka mahakamani what next kisheria?Rais Samia ni mama mwenye huruma sana mungu ambariki sana, angekuwa kiongozi mwingine mtata, uliyekaidi maagizo ya serekali yake hakika siku hiyo ungelijua idadi ya nyota zote.