SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Ndiyo mkuu. Ndio maana nimekuja kwenu nkiwaomba tuwasisitize wazazi wenzetuVipi ulijaribu kumpa ushauri mzazi mmoja wapo?
Usithubutu, nimejibiwa na mpangaji hadi nikawa mdogo, anasema hawezi kumzuia mtoto amezoea kucheza nje kama hatumtaki huyu mtoto labda ampeleke kijijini, toto lenyewe limekataa kwenda kijijini, nimefungia wanguNaona WATOTO wadogo wengi wakiwa wamekusanyika pamoja wakiendelea na michezo yao tena kwa furaha kubwa na mama zao wakiwa nao wamekaa kwenye vikundi hapa mtaani story za hapa na pale zikiendelea.
WATOTO waliorudishwa majumbani na serekali kwa nia nzuri tu ya kuwakinga na maambukizi haya ya Covid-19 ili Kila mmoja atulie nyumbani kwao mambo hayako hivo; labda kwa WATOTO wa Saint Marry, tena wanaoishi huko Upanga, Mbezi Beach, Masaki, O'bay, Seaview a.k.a kina Junior hao ndio wazazi wao wana upeo wa kuelewa nia ya serikali kuwarudisha wanafunzi nyumbani.
Kwetu huku Manzese, Kigogo, Buguruni, Kwa Mtogole, Rangi Tatu, Kiwalani na Vingunguti Mambo ni tofauti gololi zinaendelea kuchezwa kwa pamoja; kukimbizana na kupikapika mpaka najiuliza maswali kulikuwa na haja gani ya kuzifunga hizi Saint Kayumba?
Mwisho nakuja kugundua kuwa elimu elimu juu ya janga hili bado inahitajika sana huku mitaani kwetu. Mungu azidi kuwalinda na kuwapigania watoto wetu.
Enyi wakuu mlio humu naomba tuendelee kuwahamasisha wazazi wenzetu wa uswahilini wajue umuhimu wa kuwatuliza watoto wetu huko uswazi sio kuwaachia kucheza hadi saa tano usiku hasa kipindi cha janga hili la Corona. Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Vipi ulijaribu kumpa ushauri mzazi mmoja wapo?
Cha kusikitisha mno la kwanza na la pili wameshasahau yote waliyofundishwa shuleni. Shule zikifunguliwa walimu waanze mojaHawa watoto huku mtaani kazi yao ni kuzurura tu
Khaaa JF kila mtu ana akili na mawazo yakeChumba kimoja watu saba, unadhani wataweza kukaa ndani muda wote? Si watakosa hata hewa ya kupumua? na ndani kumejaa mbu.
Tena ikifika jioni wanajikusanya na kuanza kucheza mpira wao wa makaratasiCha kusikitisha mno la kwanza na la pili wameshasahau yote waliyofundishwa shuleni. Shule zikifunguliwa walimu waanze moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wape heshima watoto wanafanya utalii wa ndaniHawa watoto huku mtaani kazi yao ni kuzurura tu
Cha kusikitisha ni kwamba unataka copy &paste ya maisha ya ulaya ulinganishe na Tanzania [emoji1241],ulaya hata watoto ni ngumu kukuta wanajumuika pamoja watoto wa majirani hiyo ni never hayo ndio maisha yao tangu enzi na enzi,kwa África hilo halitawezekana pia SAUTI YAKO
Sent using IPhone X
Huko vijijini (kwa upande wetu) tunawaelimisha kwa kupitia maafisa wa afya na japo kuna changamoto zake.Elimu inatolewa kwa mtandao wajisomee. Hivi hawa maskini wenzangu na wale walio vijijini wanasomaje hii kwa mtandao.
Sent from my iPhone using JamiiForums