Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abebe huu ushauri kama anazo timamu. Meza ishapindukaJipange mjomba zama za kusifu na kuabudu zimekufa na mwasisi wake, tafuta kazi ya kufanya zile buku saba ndio zimeenda hivyo
Na ss tuloporwa nyongeza Ya mshahara na madaraja ndo tupo kat ya haO mafsad au wanyonge....[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Tangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya Watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha Hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu, Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe Watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lissu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.
Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Muache huyo.Hata asipoenda haja kubwa siku mbili kwa sababu yeye mwenyewe kala mapera mengi atakulaumu.Inaonekana hata kitandani ni mlalamishi tu.Mara umenikatia uno vibaya nahama nyumba mara nimeshiba ugali vizuri ila mboga walikomba watoto 😂😂😂😂Mleta mada badala u mourn mpendwa wako unahangaika na watu wengine kifo tumeumbiwa sisi binadamu, pia kuhusu kutofautiana sio dhambi topic yako iko ku blame zaidi. Nikupe Pole sana
[emoji23][emoji23][emoji23]uko sahihi kabisa wanashindwa kumuenzi Raisi wanahangaika na wengine hyo sio fairMuache huyo.Hata asipoenda haja kubwa siku mbili kwa sababu yeye mwenyewe kala mapera mengi atakulaumu.Inaonekana hata kitandani ni mlalamishi tu.Mara umenikatia uno vibaya nahama nyumba mara nimeshiba ugali vizuri ila mboga walikomba watoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana tabia ya ile mitoto michoyo!Unawagawia msosi sawa lakini haachi kutazama wenziye kwa macho ya kihasidi.Anatafutatafuta la kuelezea JF kwa kuangalia wakinzani wameeleza kipi!😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]uko sahihi kabisa wanashindwa kumuenzi Raisi wanahangaika na wengine hyo sio fair
KwahioTangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya Watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha Hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu, Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe Watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lissu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.
Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Yawezekana wakawa matajiri kweli.Lakini la muhimu ni watu warudie hali yao ya kuishi maisha yenye "angalau" kwa kifaransa wanasema yenye unafuu.Hela zote unanunulia "mavituvitu" tu ambayo hayana direct life assistance kwa mwananchi.Tabia za kisukuma hizo.Mpaka anunue baiskeli Phoenix na kuoa mitala huku Watoto wake wanatembelea magoti.Msoto kwenda mbele na hela za Phoenix na kuolea walilima wenyewe shamba la pamba na manumbu!😂😂😂😂Wana JF wengi watakuwa matajiri
Mbona wakat wengne[emoji23][emoji23][emoji23]uko sahihi kabisa wanashindwa kumuenzi Raisi wanahangaika na wengine hyo sio fair
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana wakawa matajiri kweli.Lakini la muhimu ni watu warudie hali yao ya kuishi maisha yenye "angalau" kwa kifaransa wanasema yenye unafuu.Hela zote unanunulia "mavituvitu" tu ambayo hayana direct life assistance kwa mwananchi.Tabia za kisukuma hizo.Mpaka anunue baiskeli Phoenix na kuoa mitala huku Watoto wake wanatembelea magoti.Msoto kwenda mbele na hela za Phoenix na kuolea walilima wenyewe shamba la pamba na manumbu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini,kuna nyani wengine wanaiba mazao shambani mwako huku anafanya vibweka ambavyo unabaki kucheka kwa furaha ukibugia zambarau kimtindo.Si sawa na "litembo" ambalo linakula mazao yako na kuvuruga shamba.Ukikaa vibaya anakuua.Chaguo ni lipi?Nyani ni wale wale
Sii wakati wa siasa za chuki na migawanyiko ni muda wa maombolezo.Tangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya Watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha Hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu, Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe Watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lissu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.
Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Yaaani wewe bila kumtaja Lisu kwenye post yako unaumwa.Huyo shetani alietaka kuondoa uhai wa Tundu Mungu kashamchukua ,lamsingi tulia na mbadilike na muombe msamaha mjue Mungu hachezewi.