Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Bora jiwe ameondoka. Alikuwa anatuharibia nchi.
Mlikuwa mnaandama aongezewe muda. Andamanane tena
Watu wanatekwa mchana kweupe na hakuna polisi wanaofuatilia. Utasikia atapatikana kabla ya Jumamosi.
Mlikuwa mnaandama aongezewe muda. Andamanane tena
Watu wanatekwa mchana kweupe na hakuna polisi wanaofuatilia. Utasikia atapatikana kabla ya Jumamosi.
Tundu lisu Hana uwezo wa kuongoza nchi yule ni msaliti Kama wengine tu,hakuna kiongozi pale