Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Umeokota shs ngapi leo mtaani?

68a77936-0522-4e10-94f3-2a9e9c428083.jpg


na wewe kaokote [emoji1787][emoji1787][emoji1787], hatujaja daslama kushangaa magari, tunapambania kombe,
 
Tenda hewa za serikali tumesha tangaziwa.. nimesha omba kujenga barabara hewa huko mkulanga km 57 kwa kiwango cha lami..

Mkataba ni miaka 8, ikiwa na option ya kuongeza muda usio zidi miaka 2.
Tangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.

Mamilioni ya Watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!

Kitendo cha Hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu, Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe Watanzania siyo vilaza.

Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.

Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lissu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.

Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.

Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
 
Yawezekana wakawa matajiri kweli.Lakini la muhimu ni watu warudie hali yao ya kuishi maisha yenye "angalau" kwa kifaransa wanasema yenye unafuu.Hela zote unanunulia "mavituvitu" tu ambayo hayana direct life assistance kwa mwananchi.Tabia za kisukuma hizo.Mpaka anunue baiskeli Phoenix na kuoa mitala huku Watoto wake wanatembelea magoti.Msoto kwenda mbele na hela za Phoenix na kuolea walilima wenyewe shamba la pamba na manumbu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

True Chief!

Mzee Mengi (Hayati) alikua Msukuma na Mitala yake!
 
Ni nchi gani, raia zake wanaokota hela? Unajua money circulation? Inaonekana ulikimbia shule. Shida ya wafrika wanapenda umaskini sana na kufanya kazi ngumu.
Ndiyo maana waarabu na wazungu walikuja kuchukua watumwa Afrika
Wamezoea vya kunyonga kaka vya kuchinja hawaviwezi
 
Ni nchi gani, raia zake wanaokota hela? Unajua money circulation? Inaonekana ulikimbia shule. Shida ya wafrika wanapenda umaskini sana na kufanya kazi ngumu.
Ndiyo maana waarabu na wazungu walikuja kuchukua watumwa Afrika
Kumbe hamkusema hela zimepotea mtaani?
 
mtoa mada ana wasi wasi na kibarua chake anatafuta huruma ya wana jeiefu
 
Hivi kwanini?
Ukisapoti serikali unaitwa mataga?

Ila ukiisapoti upinzani unaitwa mzalendo hii imekaaje?
 
Tangu lini hela zikapotea mtaani? Money circulation ndicho kinachoongelewa mtaani. Awamu 1-4 walikuwa wanatoa ajira za walimu, polisi, magereza, jeshi na madaktari kila mwaka, walimu wapya walikuwa wanaajiriwa kwenye 30,000 mpaka 35,000 hapo bado madaktari, wanajeshi na magereza.
Kulikuwa na nyongeza za mishahara, posho pamoja na marupurupu kwahiyo fedha wanaolipwa hawa watu ndizo zinazoongeza mzunguko wa hela mtaani, hizo hizo watazitumia wenye maduka, boda boda n.k
Lakini awamu hii ya 5 hivyo vyote hakuna kwahiyo money circulation ni ndogo sana.
Kumbe hamkusema hela zimepotea mtaani?
 
Back
Top Bottom