Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Jipange mjomba zama za kusifu na kuabudu zimekufa na mwasisi wake, tafuta kazi ya kufanya zile buku saba ndio zimeenda hivyo
Abebe huu ushauri kama anazo timamu. Meza ishapinduka
 
Na ss tuloporwa nyongeza Ya mshahara na madaraja ndo tupo kat ya haO mafsad au wanyonge....[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mbayaa zaid baada ya kulalamkaa tukaishia bambkwa na Makato makubwa ya loans board tofaul na mikataba yetu ya awal..... Stakuja msahau maisha yoteeee rais wa wanyonge mm[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
 
Mleta mada badala u mourn mpendwa wako unahangaika na watu wengine kifo tumeumbiwa sisi binadamu, pia kuhusu kutofautiana sio dhambi topic yako iko ku blame zaidi. Nikupe Pole sana
Muache huyo.Hata asipoenda haja kubwa siku mbili kwa sababu yeye mwenyewe kala mapera mengi atakulaumu.Inaonekana hata kitandani ni mlalamishi tu.Mara umenikatia uno vibaya nahama nyumba mara nimeshiba ugali vizuri ila mboga walikomba watoto 😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uko sahihi kabisa wanashindwa kumuenzi Raisi wanahangaika na wengine hyo sio fair
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uko sahihi kabisa wanashindwa kumuenzi Raisi wanahangaika na wengine hyo sio fair
Ana tabia ya ile mitoto michoyo!Unawagawia msosi sawa lakini haachi kutazama wenziye kwa macho ya kihasidi.Anatafutatafuta la kuelezea JF kwa kuangalia wakinzani wameeleza kipi!😂😂😂
 
Kwahio
 
Wana JF wengi watakuwa matajiri
Yawezekana wakawa matajiri kweli.Lakini la muhimu ni watu warudie hali yao ya kuishi maisha yenye "angalau" kwa kifaransa wanasema yenye unafuu.Hela zote unanunulia "mavituvitu" tu ambayo hayana direct life assistance kwa mwananchi.Tabia za kisukuma hizo.Mpaka anunue baiskeli Phoenix na kuoa mitala huku Watoto wake wanatembelea magoti.Msoto kwenda mbele na hela za Phoenix na kuolea walilima wenyewe shamba la pamba na manumbu!😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uko sahihi kabisa wanashindwa kumuenzi Raisi wanahangaika na wengine hyo sio fair
Mbona wakat wengne
tunanyongwa hak zetu hao wanaojita wanyonge hawakusema lolote... Kwel
NChi hii utasema suala la
wanyonge bla kuwaweka wafanyakaz kwel..... Au wanyonge maana yake n kuwa mama Lishe au machinga na boda boda! [emoji848][emoji848][emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sii wakati wa siasa za chuki na migawanyiko ni muda wa maombolezo.
 
Lissu hakushambuliwa na Bali alifanya maigizo ili kupata huruma ya kisiasa kimataifa
Yaaani wewe bila kumtaja Lisu kwenye post yako unaumwa.Huyo shetani alietaka kuondoa uhai wa Tundu Mungu kashamchukua ,lamsingi tulia na mbadilike na muombe msamaha mjue Mungu hachezewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…