Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Pia wakati wengine wakibabambikwa kesi zisizo na kichwa wala miguu, wafanyakazi kutokupanda madaraja ndo kuliathiri hadi had hao wanyonge
 
Unaweza kutuambia ni sheria zipi au vifungu vipi vya katiba ambavyo Tundu Lissu, Mange Kimambi na hao wengine umewataja wamevikiuka paka kuitwa wasaliti? Au ni kwamba Mtanzania yoyote ambaye hakubaliani nawe ni msaliti?
 
Tundu Lisu hataiongoza hii nchi kamwe.
Hata ahamie CCM hii nchi kamwe hataiongoza. Nimepitia Twitter yake nimeona ujinga wa hali ya juu anaiponda hati maiti. Ukweli akija kushika hii nchi Tundu Lisu, nitajua nchi hii haina Usalama wa JWTZ.

Niliwahi kumkubali, lakini nimeona sura yake halisi. Haitatokea nitamke jina lake mbele za Mungu.

Ila kwa sheria na kuionesha serikali inapokosea bado namkubali sana, na ninatamani mama SSH amrudishe asaidie taifa kwa ngazi za zinazoendana na yeye.

Ila URAIS, nawaomba TISS, JWTZ wafuatilie vizuri maneno yake na wayasome kwa undani na waone kwa nini nasema hawezi shika nchi, maana ana kifua kidogo. Japo najua kuna TISS wanamkubali sana kama anavyojivuna mara kwa mara kuwa hizi taarifa nimepewa na TISS wakaribu naye.

Mwisho naomba Lissu aaminiwe kwa uongozi wowote ndani ya Tz ila kamwe asijekuwa msemaji wa Mwisho wa taifa. Ninaelewa ninachosema.
 
Povu lote hili la nini mataga?
 
Pia wakati wengine wakibabambikwa kesi zisizo na kichwa wala miguu, wafanyakazi kutokupanda madaraja ndo kuliathiri hadi had hao wanyonge
Sanaaaa..... Binafs naona wanao mourn humu jf n watu walonufaika na huyu baba (wateule tayar) au walokuwa wanasubr teuz, au kutoka Kanda maalum sasa hawaelew itakuwaje,..... Na wanao jitokeza barabran n watz wasoelewa lolote, ama wapo kushangaa au kuhakik au kupeleka muda au n kawaida yetu kuzkana hata uwe vp huwez kosa zkwa hapa tz.
 
Waliokuwa wateule wanawaza kuwekwa benchi na waliokuwa wanasubiri favor imekula kwao, hao raia wanaoenda huko ni wameenda tu kushangaa ka ilivo hulka yetu watanzania.
Dah ila nawahurumia waliokuwa wanasifu na kujipendekeza imekula kwao, ndio maana maandiko yanasema alaaniwe anayemtegemea mwanadamu kuwa nguzo yake
 
Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Somo litakuwa limemwingia kuwa watanzania hatutaki watumikia Amsterdam au wakenya au wabelgiji tunataka mtumikia watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…