Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

Mkuu sikatai kwamba watu wengi wamehuzunishwa na kifo cha Magufuli kwa kuwa yeye alikuwa ni populist president, lakini kwa nature ya kifo unaweza ukaliliwa na watu wengi tu hata na ambao hawakuwahi kukufahamu.....
Jomba kila mtu barabarani akulilie hata kama hakujui..hiyo ni principle ya wapi vile...!! Nimesahau
 
Tundu Lissu mnaona alivyo mbinafsi.
Kapewa asali kidogo tu na Mama ndo basi tena anakula maisha tu sasa kimyaa,
harakati hamna tena.
 
Mkuu sikatai kwamba watu wengi wamehuzunishwa na kifo cha Magufuli kwa kuwa yeye alikuwa ni populist president, lakini kwa nature ya kifo unaweza ukaliliwa na watu wengi tu hata na ambao hawakuwahi kukufahamu.....
Walahi huku mitaani Basi barabara nzima ingekuwa makelele tu ya vilio katika misiba
 
Mimi kwangu zimeongezeka.
June 2021 nikapandishwa cheo na mama na July 2022 mshahara unaongezeka.
Huo ndio ubinadamu halisi sio kazi ya kutekana tu
Umesahau na gharama za maisha zikaongezeka ni raha tupu
 
Hawezi kuelewa kitu huyo, nondo imepaa kutoka elfu 11 hadi elfu 28
Kuna watu kama watoto akili zao 😃😃 anafurahia kuongezewa pesa ambayo inaishia kwenye ongezeko la gharama za maisha
 
Jomba kila mtu barabarani akulilie hata kama hakujui..hiyo ni principle ya wapi vile...!! Nimesahau
Wewe unafikiri watu wote wanaoomboleza huwa wanawajua hao waliokufa, chukulia mfano basi limepata ajali na kuteketea kwa moto, unafikiri wote wanaolia eneo la tukio huwa wanawajua waliomo ndani ya basi........unaonekana una akili ya kuvukia barabara tu.
 
Back
Top Bottom