Yanga haoUtopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga haoUtopolo
Za mchele au mahindiPumba
Zipo jalalaniTakataka
Jomba kila mtu barabarani akulilie hata kama hakujui..hiyo ni principle ya wapi vile...!! NimesahauMkuu sikatai kwamba watu wengi wamehuzunishwa na kifo cha Magufuli kwa kuwa yeye alikuwa ni populist president, lakini kwa nature ya kifo unaweza ukaliliwa na watu wengi tu hata na ambao hawakuwahi kukufahamu.....
Walahi huku mitaani Basi barabara nzima ingekuwa makelele tu ya vilio katika misibaMkuu sikatai kwamba watu wengi wamehuzunishwa na kifo cha Magufuli kwa kuwa yeye alikuwa ni populist president, lakini kwa nature ya kifo unaweza ukaliliwa na watu wengi tu hata na ambao hawakuwahi kukufahamu.....
Harakati za nini wakati ameshashibaTundu Lissu mnaona alivyo mbinafsi.
Kapewa asali kidogo tu na Mama ndo basi tena anakula maisha tu sasa kimyaa,
harakati hamna tena.
Mimi kwangu zimeongezeka.Vipi mitaani kwako hela imejaa unaokota tu
Umesahau na gharama za maisha zikaongezeka ni raha tupuMimi kwangu zimeongezeka.
June 2021 nikapandishwa cheo na mama na July 2022 mshahara unaongezeka.
Huo ndio ubinadamu halisi sio kazi ya kutekana tu
Huku njaa tupuVipi mitaani kwako hela imejaa unaokota tu
Kuna watu kama watoto akili zao 😃😃 anafurahia kuongezewa pesa ambayo inaishia kwenye ongezeko la gharama za maishaHawezi kuelewa kitu huyo, nondo imepaa kutoka elfu 11 hadi elfu 28
Wewe unafikiri watu wote wanaoomboleza huwa wanawajua hao waliokufa, chukulia mfano basi limepata ajali na kuteketea kwa moto, unafikiri wote wanaolia eneo la tukio huwa wanawajua waliomo ndani ya basi........unaonekana una akili ya kuvukia barabara tu.Jomba kila mtu barabarani akulilie hata kama hakujui..hiyo ni principle ya wapi vile...!! Nimesahau