[emoji23][emoji23][emoji23]Utopolo aka vyura waanze kutuamkia.
Maana miaka ya ya hivi karibuni hawapati nafasi kuwakilisha nchi mpaka baba lao Simba akinukishe
Sijaona hii taarifa kwenye mtandao wa CAF. na pia CAF wanafanya 5 year ranking baada ya mashindano kumalizika na wala sio timu zikiingia makundi tu. Kwa kila hatua timu inayofikia kunakuwa na point zake. Tanzania inashika nafasi ya 13 mpaka sasa kwa kutumia 5 year ranking ya msimu waNasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi.
Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF
Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na Simba SC.
Safiiiiiiii!Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi.
Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF
Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na Simba SC.
Ushindi wa mazingaumbwe na tunguli,tujikute tunaujadili,kweli?
Hahahaaa. Bina umefanya nimecheka peke yangu. LolShadeeya unateseka ukiwa wapi🤣🤣🤣🤣View attachment 1670546
Labda jamaa alikuwa anatania tuSijaona hii taarifa kwenye mtandao wa CAF. na pia CAF wanafanya 5 year ranking baada ya mashindano kumalizika na wala sio timu zikiingia makundi tu. Kwa kila hatua timu inayofikia kunakuwa na point zake. Tanzania inashika nafasi ya 13 mpaka sasa kwa kutumia 5 year ranking ya msimu wa
(2016 -2020) na waliopo juu yetu wote timu zao zimefuzu kwenda hatua ya makundi kasoro inch ya Nigeria, Libya na Zambia ambazo timu zao zimeshindwa kwenda hatua ya makundi hivyo kuangukia kwenye play off ya shirikisho. Hivyo hizo nchi zinaweza kutetea nafasi zao endapo zitafuzu kwenye group stage kombe la shirikisho wataiongezea point inchi zao.
Na wakifika mbali zaidi ya hatua hiyo basi na point pia zitakuwa zinaongezeka. Hivyo Caf hawawezi kutoa award points kabla ya mashindano kumalizika. Kikubwa kuiombea Namungo wafuzu ili kazi ya kuiongezea taifa point iwe nyepesi kwa kuwa na timu mbili, na la pili ni kuniziombea timu zetu zote mbili zifike mbali zaidi. Na Cha tatu ni kuziombea zile inchi 12 zilizo juu yetu basi inchi moja wapo timu yakw ishindwe kwenda hatua za juu zaidi ili wasiongeze point.
N.b
Caf wanaruhusu inchi 12 tu ndizo ziinazoingiza timu nne kwenye michuano ya kimataifa kwa kuzingatia record ya performance ya timu zao ndani ya misimu mitano kwenye ngazi ya champions league na confederation cup
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo atabisha kuwa bado Simba SC itabeba tena VPL mwaka huu ingawaje Mimi siyo Mshabiki wa Simba SC au Yanga SC.Mkuu nani kachukua kombe la ligi msimu huu?
Ni vyema tusubiri ligi iishe , mshindi ajulikane.
Nenda katika Kurasa za Mitandao za Msemaji wa Azam FC Zaka za Kazi ( Thabit ) utakuta ameoweka Taarifa hii na Kuitolea Ufafanuzi wake sawa?
Wewe Mpuuzi hebu acha kunipotezea muda wangu sawa? Na hakuna mahala nilipokulazimisha ukubaliane nami, ila hiyo ndiyo Taarifa ya Ukweli.Sijaona hii taarifa kwenye mtandao wa CAF. na pia CAF wanafanya 5 year ranking baada ya mashindano kumalizika na wala sio timu zikiingia makundi tu. Kwa kila hatua timu inayofikia kunakuwa na point zake. Tanzania inashika nafasi ya 13 mpaka sasa kwa kutumia 5 year ranking ya msimu wa
(2016 -2020) na waliopo juu yetu wote timu zao zimefuzu kwenda hatua ya makundi kasoro inch ya Nigeria, Libya na Zambia ambazo timu zao zimeshindwa kwenda hatua ya makundi hivyo kuangukia kwenye play off ya shirikisho. Hivyo hizo nchi zinaweza kutetea nafasi zao endapo zitafuzu kwenye group stage kombe la shirikisho wataiongezea point inchi zao.
Na wakifika mbali zaidi ya hatua hiyo basi na point pia zitakuwa zinaongezeka. Hivyo Caf hawawezi kutoa award points kabla ya mashindano kumalizika. Kikubwa kuiombea Namungo wafuzu ili kazi ya kuiongezea taifa point iwe nyepesi kwa kuwa na timu mbili, na la pili ni kuniziombea timu zetu zote mbili zifike mbali zaidi. Na Cha tatu ni kuziombea zile inchi 12 zilizo juu yetu basi inchi moja wapo timu yakw ishindwe kwenda hatua za juu zaidi ili wasiongeze point.
N.b
Caf wanaruhusu inchi 12 tu ndizo ziinazoingiza timu nne kwenye michuano ya kimataifa kwa kuzingatia record ya performance ya timu zao ndani ya misimu mitano kwenye ngazi ya champions league na confederation cup
Kwa Chuki zako kwa Simba SC na Ushindi wake ulichokiona kwa haraka ni Matukio ya Bernard Morrison ila siyo Kuipongeza Kidhati hasa Simba SC.Ila maisha yanakwwnda kazi, Morrison sasa hivi kawa kama Muchacho group? Yani ni mshangiliaji mzuri sana jukwaani.
Nina Utani nae / nanyi?Labda jamaa alikuwa anatania tu
Jamhuri wanawasubiri unguja kuleUshindi wa mazingaumbwe na tunguli, tujikute tunaujadili, kweli?
ha ha huwa mnaongoza hivyo hivyo tena mwaka huu ni point chache sana, lakini mwisho wa siku wenye kombe wanalichukua tuSimba kajibeba mwenyewe maana keshaona vpl this time Hana chake, na huo ndiyo ukweli anayebisha mchawi tu.
Inachokifanya Yanga SC kwa Kuongoza Kwake Ligi ni sawa na Mtoto kumshikia tu kwa muda Baba Hati ya Nyumba, ila karibuni ataichukua Kimoja.ha ha huwa mnaongoza hivyo hivyo tena mwaka huu ni point chache sana, lakini mwisho wa siku wenye kombe wanalichukua tu
Sasa huyo ndio website ya CAF , kusikia tu kwa huyo Jamaa umekurupukaa mbio kuja kusema CAF , haya badilisha Uzi wako , ni taarifa kutoka kwa huyo sijui ndio zaka , maana kwenye website ya CAF haipo hiyo habari, usipende kukurupukaNenda katika Kurasa za Mitandao za Msemaji wa Azam FC Zaka za Kazi ( Thabit ) utakuta ameoweka Taarifa hii na Kuitolea Ufafanuzi wake sawa?
Waliopanda na walio shuka , Next season tunapeleka timu 4