moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Watazishona sidiria ili wavalie mafichoni[emoji23][emoji23]Vyura walinunua jezi za platinum sijui watazivaalini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watazishona sidiria ili wavalie mafichoni[emoji23][emoji23]Vyura walinunua jezi za platinum sijui watazivaalini.
Hesabu point za miaka mitano na huu uhesabu kurudi nyuma!So point hizi jumli na zile za mwaka juzi basi na kurudi nyuma,utakuta point hizi zimeongezea!
Kajiridhishe kwanza kabla hujaja hapa!
Hapo labda Libya afanye maajabu kitu ambacho ni ngumu!
Hivi hizi point huwa wana calculate namna gani?Umesoma nilichoandika pasipo kuelewa point yangu ni ipi. CAF wanafanya ranking za association member baada ya msimu kuisha. Hiyo niliyoiweka mimi hapo juu sijajumuisha msimu huu bali nimeweka 5 year ranking kabla ya msimu huu sababu msimu huu bado caf hawatoa ranking. Hivyo nilikataa kuwa hakuna taarifa hiyo kutoka CAF kuhusu hiyo habari hizo ni habari za mitandaoni tu.
Tukirudi kwenye hoja yako ya pili kuhusu Libya, ni kwamba ukijumlisha point za Tanzania ukiweka na hizi za sasa ambapo Simba imeingia hatua ya makundi tutakuwa tumefikisha point 25 endapo simba itafika hatua ya robo fainali msimu huu. Ila endapo Simba hakishika nafasi ya tatu, Tanzania itakuwa imeongeza alama 2 badala ya 3 ndani ya msimu huu hivyo itakuwa na point 20. Na ikishika nafasi ya mwisho basi tutakuwa na point 15
Upande wa Libya
Mpaka sasa wanakuwa na point 11
Wakifuzu kuingia hatua ya makundi kwenye shirikisho na kushika nafasi ya pili basi watakuwa na point 21
Ila wakiishika nafasi ya tatu watakuwa na point 16
Na wakishika nafasi ya mwisho kwenye kundi watakuwa na point 13.5
Hapo ni Simba vs Libya sijamuongeza Namungo maana nae pia akifuzu hatua ya makundi ataiongezea taifa point.
Nilipokosea naomba nirekebishe
Ujinga ni mzigo wa misumari , kwani 2018 kulikua na official release?? Nyie waluga luga wa wapi? Umeshindwa hata kuzama Google kuangalia namna point zinavyo gawiwa ukajumla mwenyewe? Mnatia aibuTupe official source ya hii taarifa sio kuleta screenshot isiyoonesha taarifa imetolewa wapi. Hii ni JF sio facebook, tunahitaji taarifa sahihi ikiambatanishwa na ushahidi wa taarifa hiyo.
Sumbawanga ndo watabe wa hayo mambo, hawana timu hata ligi daraja la kwanza.Ushindi wa mazingaumbwe na tunguli, tujikute tunaujadili, kweli?
Ujinga ni mzigo wa misumari , kwani 2018 kulikua na official release?? Nyie waluga luga wa wapi? Umeshindwa hata kuzama Google kuangalia namna point zinavyo gawiwa ukajumla mwenyewe? Mnatia aibu
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Ngoja nikupe somo wewe pamoja na mashabiki wengine ambao wamekuwa zoa zoa wa habari za mitandaoni bila kutumia akili zao. Wakisikia Kishingo kapigana na Kagere wao wanashahadadia tu bila kujipa muda wa kujua ukweli.Ujinga ni mzigo wa misumari , kwani 2018 kulikua na official release?? Nyie waluga luga wa wapi? Umeshindwa hata kuzama Google kuangalia namna point zinavyo gawiwa ukajumla mwenyewe? Mnatia aibu
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Kawaulize Mathematicians wa CAF.Hivi hizi point huwa wana calculate namna gani?
Najua wewe hujui lolote mfuata mkumbo, na ndio maana sijakuuliza wewe. Angalia niliye m-quote ni nani.Kawaulize Mathematicians wa CAF.
Na Mimi Kuwajibu na kuwapa Ufafanuzi Majuha ( Morons ) wa mfano wako huwa ni kawaida ( desturi ) yangu. Naamini utakuwa Umeelimika zaidi.Najua wewe hujui lolote mfuata mkumbo, na ndio maana sijakuuliza wewe. Angalia niliye m-quote ni nani.
Juha ni wewe unayechukua habari za Instagram bila kuifanyia utafiti halafu unakuja kusema Caf wamesema. Ndio nyie shuleni mlikuwa mnaigizia hadi majibu ya uongo.Na Mimi Kuwajibu na kuwapa Ufafanuzi Majuha ( Morons ) wa mfano wako huwa ni kawaida ( desturi ) yangu. Naamini utakuwa Umeelimika zaidi.
Na kawaida wapiga chabo Kitaaluma ( Waigiziaji ) Mashuleni huku katika Maisha ndiyo huwa na Mafanikio Kifedha kuliko nyie Bookworms wengi.Juha ni wewe unayechukua habari za Instagram bila kuifanyia utafiti halafu unakuja kusema Caf wamesema. Ndio nyie shuleni mlikuwa mnaigizia hadi majibu ya uongo.
Haha usiwaponze wakarudi na deni la mchezaji mwengine .. [emoji23][emoji23]Nyie utopolo hamkosi vya kusema nyie!
Kama ushindi ni wamazingaumbwe nendeni mkashitaki CAF au FIFA! Au hata CAS huko...
HahahaaaWatazishona sidiria ili wavalie mafichoni[emoji23][emoji23]
Bina naona unalazimisha niteseke. Lol 🤣Ujajibu swali Bina... 😁😁
Ndugu umedanganya bhana ukisimuliwa tafuta ukweli halisiSijaona hii taarifa kwenye mtandao wa CAF. na pia CAF wanafanya 5 year ranking baada ya mashindano kumalizika na wala sio timu zikiingia makundi tu. Kwa kila hatua timu inayofikia kunakuwa na point zake. Tanzania inashika nafasi ya 13 mpaka sasa kwa kutumia 5 year ranking ya msimu wa
(2016 -2020) na waliopo juu yetu wote timu zao zimefuzu kwenda hatua ya makundi kasoro inch ya Nigeria, Libya na Zambia ambazo timu zao zimeshindwa kwenda hatua ya makundi hivyo kuangukia kwenye play off ya shirikisho. Hivyo hizo nchi zinaweza kutetea nafasi zao endapo zitafuzu kwenye group stage kombe la shirikisho wataiongezea point inchi zao.
Na wakifika mbali zaidi ya hatua hiyo basi na point pia zitakuwa zinaongezeka. Hivyo Caf hawawezi kutoa award points kabla ya mashindano kumalizika. Kikubwa kuiombea Namungo wafuzu ili kazi ya kuiongezea taifa point iwe nyepesi kwa kuwa na timu mbili, na la pili ni kuniziombea timu zetu zote mbili zifike mbali zaidi. Na Cha tatu ni kuziombea zile inchi 12 zilizo juu yetu basi inchi moja wapo timu yakw ishindwe kwenda hatua za juu zaidi ili wasiongeze point.
N.b
Caf wanaruhusu inchi 12 tu ndizo ziinazoingiza timu nne kwenye michuano ya kimataifa kwa kuzingatia record ya performance ya timu zao ndani ya misimu mitano kwenye ngazi ya champions league na confederation cup
Kipengele kipi nilichodanganya? Na usahihi wake ni upi?Ndugu umedanganya bhana ukisimuliwa tafuta ukweli halisi
Hiyo rank ya miaka mitano hapana ni kwamba mwakani ni lazima tanzania itaingiza timu 2 CL na timu 2 confederation hakuna kumsubiria libya.Kipengele kipi nilichodanganya? Na usahihi wake ni upi?