Hiyo rank ya miaka mitano hapana ni kwamba mwakani ni lazima tanzania itaingiza timu 2 CL na timu 2 confederation hakuna kumsubiria libya.
Iko hiv hizo point inazozipata timu mwaka huu zitadumu kwa muda wa miaka mitano baada ya hapo zitakuwa zinapotea lakini point zako zikifikia kwenye ile rank ya CaF kuingiza timu 4 kwenye mashindano yao hautasubir miaka yeyote ni msimu mpya ukianza na ninyi mnaingiza hizo timu wakati huo kuna taifa moja wapo linapoteza hiyo nafasi
kama ilivyokuwa kwa Tz msimu uliopita na itakavyo kuwa kwa libya msimu ujao