Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

Kitendo cha kufungulia bwawa la Mtera maji yaende ambayo ilipelekea mgao hadi leo unalitesa taifa ni kosa kubwa mno

Kitendo cha kusaini kukodisha App kutoka India kwa bilioni 70 kwa ajili ya Tanesco ni kosa kubwa na wizi mbaya sana

Matrilioni ya ukarabati yaliyoliwa

Matrilioni ya REA yaliyoliwa

Matrilioni ya Kufumua grid yaliyoliwa

Mabilioni ya vifaa kama luku, mitambo, nk yaliyotafunwa

Bado madudu ya siri ya kushirikiana na taifa gesi,makampuni ya kuagiza mafuta, na majenereta kwakweli ni balaa

Januari Makamba alipaswa kunyongwa na siyo kuhamishwa Wizara. Ila iko siku yake atakuja kujibu alikopeleka Matrilioni ya fedha aliyopewa na Samia kwa ajili ya ukarabati mara alipoingia wizara ya nishati mwaka 2021
Januari tayari yuko nje. Nasikia alikuwa na ukwasi ukadiriwao kufikia Tsh 80 Billion na Nape Tsh 40 Billion.

britanicca please chukua hii
 
Back
Top Bottom