Kitendo cha kufungulia bwawa la Mtera maji yaende ambayo ilipelekea mgao hadi leo unalitesa taifa ni kosa kubwa mno
Kitendo cha kusaini kukodisha App kutoka India kwa bilioni 70 kwa ajili ya Tanesco ni kosa kubwa na wizi mbaya sana
Matrilioni ya ukarabati yaliyoliwa
Matrilioni ya REA yaliyoliwa
Matrilioni ya Kufumua grid yaliyoliwa
Mabilioni ya vifaa kama luku, mitambo, nk yaliyotafunwa
Bado madudu ya siri ya kushirikiana na taifa gesi,makampuni ya kuagiza mafuta, na majenereta kwakweli ni balaa
Januari Makamba alipaswa kunyongwa na siyo kuhamishwa Wizara. Ila iko siku yake atakuja kujibu alikopeleka Matrilioni ya fedha aliyopewa na Samia kwa ajili ya ukarabati mara alipoingia wizara ya nishati mwaka 2021