fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Haikubariki kuungana na watesaji wa ndg zetu wapalestina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakristo vile vile wananyanyaswa sana katika nchi zenye waislamu wengi kama Pakistan, Indonesia, Iraq, Misri nk.Ni kweli na inajulikana.Lakini inashangaza mara nyingi wakristo nchi mbali mbali huwa wanawaunga mkono wayahudi wawakandamize wapalestina.Utadhani hawajui kuwa Palestina ina wakristo.
Kwanini wasiipende?,suala la palestine sio la kidini,,dini ya kiyahudi haina ushindani na dini ya kiislamu kwa namba yeyote ile,na infact myahudi anaruhusiwa kuingia msikitini kuliko kuingia kanisani,HAKUNA MUSLIM ATAKAE IPENDA AU KUIKUBALI ISRAEL MILELE.
UKIONA NCHI YA KIARABU IMEPATANA NA ISRAEL NI SABABU TU YA VIONGOZI VIBARAKA WA MABEBERU WAMELAZIMISHWA NA US NA HAWAWEZI KUPINGA WAKIHOFIA KUTOLEWA MADARAKANI NA MABEBERU AMBAO WANAWALINDA.
nimetumia capital letter,
Ni kweli na inajulikana.Lakini inashangaza mara nyingi wakristo nchi mbali mbali huwa wanawaunga mkono wayahudi wawakandamize wapalestina.Utadhani hawajui kuwa Palestina ina wakristo
Nchi nyingi za EU huwatetea wapalestine,shida iko kwa US,lakini kuna hawa bornagain wao hudhani bila kuiunga mkono israel hawatapata freepass ya kuingia mbinguni,Ni kweli na inajulikana.Lakini inashangaza mara nyingi wakristo nchi mbali mbali huwa wanawaunga mkono wayahudi wawakandamize wapalestina.Utadhani hawajui kuwa Palestina ina wakristo.
Wewe unazungumzia kunyanyaswa na ushahidi huwezi kuupata wa kutosha.Lakini waislamu wanauliwa kwa maelfu ndani ya nchi zao kunakofanywa na mataifa ya kikristo na mayahudi wachache kwa kutumia silaha za kisasa zilizotayarishwa na nyengine zikifanyiwa majaribio kwao.Wakristo vile vile wananyanyaswa sana katika nchi zenye waislamu wengi kama Pakistan, Indonesia, Iraq, Misri nk.
Hao wanaoona bila kuiunga mkono Israel ni wengi na ndio wenye nguvu sana.Kila siku Israel inavunja majumba ya wapalestina na kuwajengea watu wao maeneo hayo hayo na kinachosikika ni maneno laini tu ya kuwalaumu lakini hakuna azimio la maana linalotolewa wala hatua za nguvu zinazochukuliwa na mataifa hayo.Nchi nyingi za EU huwatetea wapalestine,shida iko kwa US,lakini kuna hawa bornagain wao hudhani bila kuiunga mkono israel hawatapata freepass ya kuingia mbinguni,
Hahahaaaaa Eti lini wapalestina wakawa na undugu na wanubi. 🤣🤣🤣Hao wasudan waachwe wasote kama wanacheza, nchi yao imekuwa kwenye vikwazo kwa muda mrefu lakini bado hawaoni.
Lini wapalestina wakawa na undugu na wanubi, hao waache uongo.
Bro Ata wasingekimbia isingebadili kitu.Kwanini wasiipende?,suala la palestine sio la kidini,,dini ya kiyahudi haina ushindani na dini ya kiislamu kwa namba yeyote ile,na infact myahudi anaruhusiwa kuingia msikitini kuliko kuingia kanisani,
Wapalestine walibugi mwaka 1967 kwa kuyaacha makazi yao kukimbia vita ,wasingekimbia ile nchi ingekuwa na mchanganyiko wa watu na wala ishu ya palestine haingekuwa kubwa kiasi kile
Sio kweli,muingereza aliigawa palestine pande mbili,,waisrael waliridhika kuwa na tel aviv kama mji mkuu,,kipindi hicho jerusalem ukiwa chini ya jordan,vile vita vya 1948,wayahudi hawakuwa hata na nia ya kuiteka jerusalem,,uingereza waliondoka na kuicha jerusalem chini ya jordan,mfalme wa jordan alijenga hadi ikulu pale,Bro Ata wasingekimbia isingebadili kitu.
MKOLONI WA PALESTINE UK ALIIACHA ILE NCHI CHINI YA JEWS SETTLERS. ALIANDAA MAZINGIRA YOTE KUHAKIKISHA AKITOKA YEYE WAYAHUDI WANASHIKA HATAMU PALE PALESTINE.
Na vitendo vya wapalestine magaidi kuwachoma visu waisrael na kurusha maroketi israel huku waking'ang'ania ardhi za waisrael hakikubalikiLeo baada mafanikio ya kuimega Sudan ndio watu wanasema Sudan ni ya Wanubi lakini huko nyuma tuliambiwa Omar Albashiri ni mwarabu anaongoza serikali inayouwa waafrika.Ajabu kabisa.
Vyovyote iwavyo wasudan wengi wawe weusi au wekundu lakini ni waislamu.Na waislamu ni ndugu sana na wapalestina.Kama haitoshi hiyo hata wangekuwa ni dini tofauti basi matendo ya Israel kwa wapalestina kuwavunjia majumba yao haikubaliki kibinadamu.
Pia Israel kuna waislamu cha ajabu waislamu wanaichukia israel utafikiri walihimizwa chuki kwenye diniNi kweli na inajulikana.Lakini inashangaza mara nyingi wakristo nchi mbali mbali huwa wanawaunga mkono wayahudi wawakandamize wapalestina.Utadhani hawajui kuwa Palestina ina wakristo.
Hizo ni hasira za wapalestina wasiokuwa na silaha.Kama wangekuwa na makombora mazito kama yale wanayotumia Marekani maeneo ya waislamu basi wapalestina wangekuwa na haki kuyamimina hata ikulu ya Israel.Mtu anayekufukuza nyumbani kwako ukiweza kupambana naye usimuonee huruma.Na vitendo vya wapalestine magaidi kuwachoma visu waisrael na kurusha maroketi israel huku waking'ang'ania ardhi za waisrael hakikubaliki
Hoja pale siyo ukristu kwani wayahudi ni dini inayojitegemea na tofauti na ukristu. Hoja ni mtu arudishiwe eneo lakeNi kweli na inajulikana.Lakini inashangaza mara nyingi wakristo nchi mbali mbali huwa wanawaunga mkono wayahudi wawakandamize wapalestina.Utadhani hawajui kuwa Palestina ina wakristo.
Sudan is not an Arabic nation let’s not confuse
.Hii habari imekua si nzuri kwa wenzetu waarabu na wale wahafidhina wa humu jf sijui kwa nn? Israel kuwa na aman na nchi za kiarabu ni Jambo jema sana lakn waarabu waliowengi hawataki Aman kabisa na Israel , SS wakristo tunafundishwa kuwa na amani na watu wote wenzetu akina faiza f...wao ni tofauti.