Ninakazia nilikuita kujadili hoja yangu iliyokuwa uzi kamili kupitia hiyo comment aliyoitwa FF.
Si mara ya kwanza kukuitisha kwenye hoja zenye maslahi mapana kwetu sote. Si kwenye u dini, kashfa, kejeli, ubaguzi wala vya namna hiyo. Ninaamini hilo walijua vyema.
Nikiamini kama vitani kuliko na friendly fire nadra makombora kukosea shabaha na kuwaangukia ndugu, vivyo hovyo humu ndugu wavukao mipaka huwaasa hadharani na faraghani.
Mbona masheikh na waislam hawa ni ndugu wa wote?
View attachment 2725825
Tuseme masheikh kama hawa hawakuvutii wewe? Ila aina hIzi za watu wasiokuwa na msingi wowote?
View attachment 2725833
Mbona wengine baina yetu ni waislam pia?
Haipo vita ya kibaguzi kwenye mkataba wa Bandari. Hapa pana suala la kisheria siyo kidini.
Tusiondolewe kwenye reli kirahisi namna hii.
Sisi sote ni ndugu.