Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

Kutoka kwenye Ukatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Je cheo cha Paul Makonda hapo kimepanda au kimeshuka?
Wala hata hajashuka , kaporomoka vibaya !
 
Kwa upande wa Serikali amepanda maana alikuwa hana cheo chochote, ila kwa ulimbekeni wake, na ujinga wa watendaji wa Serikali alionekana yupo juu ya viongozi wa Serikali.

Kwa upande wa chama, amedondoka sana kwa sababu kwa sasa hana cheo chochote, yupo chini ya mwenyekiti wa tawi.

Kama hamjui kwa sasa Mheshimiwa Makonda ni Mkuu wa Mikoa yote.
Ni Mkuu wa Wakuu wa Mikoa.
Subirini mtaona anaenda kumkagua Mkuu wa Mkoa wa Moshi, Manyara Tanga na kwingineko.
Lisivyo na akili lile litachukua huu ushauri
 
Kutoka kwenye Ukatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Je cheo cha Paul Makonda hapo kimepanda au kimeshuka?
amekua mtumishi mwenye weledi zaid, alietukuka na mwenye uzoefu zaid kwenye chama na serikali 🐒
 
Nimegundua wapiga porojo,Majizi. na. Mafisadi hujaadili watu smart,leo nyuzi nyingi zimeandikwa juu ya Mwanamapinduzi wa kweli MAKONDA.
 
Kama kapanda au kashuka inakusaidia nini mkuu
 
Kutoka kwenye Ukatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Je cheo cha Paul Makonda hapo kimepanda au kimeshuka?

Bado ni king'ang'anizi. 😂
 
Back
Top Bottom