Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
Baada ya Rais Trump kutoa onyo kwa Iran kuwa mashambulio ya Houthis wa Yemen dhidi ya meli za kiraia yanasaidiwa na Iran, kwa Iran kwa Serikali ya Iran kuwapa Houthis makombora, drones na taarifa za kiintelijensia, na kwamba kuanzia sasa kombora lolote lirakalorushwa na Houthis, Iran inalipa matokeo na kwamba itajutia, Iran imepeleka barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kujitetea kuwa haihusiki na kuvunja vikwazo ilivyowekewa Temen kwa kuwapa usaidizi Houthi.
Hali bado ni tete kwa sababu Houthis wamesema wataandelea kushambukia meli zote zinazopita kwenye mkondo wa bahari ulio karibu na Yemen, ambazo wanahisi zina uhusiano na Israel.
Ni nini Marekani itafanya dhidi ya Iran, kiasi cha Iran kujutia, hatujui!!
Kauli ya RaisTrump:
"Every shot fired by the Houthis will be looked upon from this point forward, as being a shot fired from the weapons and leadership of IRAN.
"And IRAN will be held responsible, and suffer the consequences, and those consequences will be dire!"
Utetezi wa Iran:
In a letter on Monday to the UN Security Council, Iran's UN envoy denied it was in violation of a UN arms embargo on Yemen, and said it was not involved in any destabilising activities in the region.
Ambassador Amir Saei