Baada ya Titanic, Meli nyingine kubwa zaidi duniani ipo tayari kuanza safari zake mwaka 2024

Baada ya Titanic, Meli nyingine kubwa zaidi duniani ipo tayari kuanza safari zake mwaka 2024

Meli hii yenye mabwawa 16 ya kuogelea imekamilisha majaribio yake ya kwanza ya kusafiri baharini Juni 22, 2023 ambapo ilisafiri mamia ya maili ili kujaribu mifumo yake kadhaa ikiwemo ile ya umeme, usukani, breki na kelele ilionekana kuwa na ufanisi mkubwa.
Vipi suala la usalama
 
NB: Vipi ingekuwa bongo baada ya kile chombo cha OceanGate kupata ajali, muda mfupi wakatangaza kuanza safari nyinge je ungelipia?.

Ndivyo ilivyo kwa meli hii, mjadara unaendelea kutofautisha na titanic ila watu kama wote wanalipia mtoko na chombo kipya, vipi wewe Mtanzania?.
Wangeweka mifumo ya tahadhali iwapo inapata hitilafu na kuanza kuzama
 
Hio Inaitwa kukaa kimachale,yaani wakati wenzio wanakula ulabu huko,wewe unakuwa kwenye mabikoni kucheki bahari inaendaje huku jaketi lako mgongoni,ukisikia breki ya ghafla tu unajiandaa kuchomoka[emoji28]
Ukiona matuta mbona kama yamekuwa mengi hivi.. hahah

Ila unatakiwa uwe makini unaweza ruka sehem ambayo yenyew inaangukia
 
Hio Inaitwa kukaa kimachale,yaani wakati wenzio wanakula ulabu huko,wewe unakuwa kwenye mabikoni kucheki bahari inaendaje huku jaketi lako mgongoni,ukisikia breki ya ghafla tu unajiandaa kuchomoka[emoji28]
Katikati ya bahari ya atlantic unachomoka kwenda wapi sasa 😄
 
Mambo yakiwa mengi hizo boat sio nzuri maana kila mtu atataka kupanda alafu mzame wote.. dawa ni Life jacket tu na kukaa stand-by. Ukiskia ile filimbi tu unaangalia pa kujitupa
Pacific Ocean ina 165 million km.square, yaani Tanzania inaingia karibu mara 175.Ndio mpo robo au nusu ya hio bahari hilo jacket litakupeleka wapi? Yaani hapo ni parapanda tu.
 
Pacific Ocean ina 165 million km.square, yaani Tanzania inaingia karibu mara 175.Ndio mpo robo au nusu ya hio bahari hilo jacket litakupeleka wapi? Yaani hapo ni parapanda tu.
Cha msingi upate uokozi.. sio ufe kifala fala. Hapo unaweza sustain hata zaid ya 5 hrs..
 
Wangeweka mifumo ya tahadhali iwapo inapata hitilafu na kuanza kuzama
Mifumo ya kutoa taarifa kwenye vyombo vyote vya usafiri ipo ila, wakiwa na jambo lao mifumo ushindwa kufanya kazi.
 
Pacific Ocean ina 165 million km.square, yaani Tanzania inaingia karibu mara 175.Ndio mpo robo au nusu ya hio bahari hilo jacket litakupeleka wapi? Yaani hapo ni parapanda tu.
Kwanza ataliwa na papa humo baharini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna nadhalia.mbili ya.kwanza inasemekana tajiri Wa Titanic alisema.hata Mungu hawezi kuizamisha hivyo watu wajiachie ktk meli pili inasemakana utawala.Wa kirumi uliwatoa kafara matajiri watano.miongoni mwa wasafiri je IPI INA mashiko
 
Attachments

  • 347443373_811737954023405_8387460226885006580_n.jpg
    347443373_811737954023405_8387460226885006580_n.jpg
    27.5 KB · Views: 4
  • 347430873_811737887356745_9194104177793292193_n.jpg
    347430873_811737887356745_9194104177793292193_n.jpg
    21.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom