Vipi suala la usalamaMeli hii yenye mabwawa 16 ya kuogelea imekamilisha majaribio yake ya kwanza ya kusafiri baharini Juni 22, 2023 ambapo ilisafiri mamia ya maili ili kujaribu mifumo yake kadhaa ikiwemo ile ya umeme, usukani, breki na kelele ilionekana kuwa na ufanisi mkubwa.
Wangeweka mifumo ya tahadhali iwapo inapata hitilafu na kuanza kuzamaNB: Vipi ingekuwa bongo baada ya kile chombo cha OceanGate kupata ajali, muda mfupi wakatangaza kuanza safari nyinge je ungelipia?.
Ndivyo ilivyo kwa meli hii, mjadara unaendelea kutofautisha na titanic ila watu kama wote wanalipia mtoko na chombo kipya, vipi wewe Mtanzania?.
BAHARI IMESIKIA TENA NJAA BAADA YA KUTAFUNA TITANICJambo jema, achana na hawa wakata viuno wa bunge la tz,wala rushwa.
Waache tu 😅Hawaogopi? 🤣🤣🤣
Ukiona matuta mbona kama yamekuwa mengi hivi.. hahahHio Inaitwa kukaa kimachale,yaani wakati wenzio wanakula ulabu huko,wewe unakuwa kwenye mabikoni kucheki bahari inaendaje huku jaketi lako mgongoni,ukisikia breki ya ghafla tu unajiandaa kuchomoka[emoji28]
Mambo yakiwa mengi hizo boat sio nzuri maana kila mtu atataka kupanda alafu mzame wote.. dawa ni Life jacket tu na kukaa stand-by. Ukiskia ile filimbi tu unaangalia pa kujitupaalafu unaulizia mapemaa zilipo boat za uokozi na ufanye booking mapema ili just incase
[emoji28][emoji28] ndio hivyoUkiona matuta mbona kama yamekuwa mengi hivi.. hahah
Ila unatakiwa uwe makini unaweza ruka sehem ambayo yenyew inaangukia
Katikati ya bahari ya atlantic unachomoka kwenda wapi sasa 😄Hio Inaitwa kukaa kimachale,yaani wakati wenzio wanakula ulabu huko,wewe unakuwa kwenye mabikoni kucheki bahari inaendaje huku jaketi lako mgongoni,ukisikia breki ya ghafla tu unajiandaa kuchomoka[emoji28]
Itajulikana tu mkuu,maana ni suala la muda tu meli inawazamisha wote,kila mtu ahangaike kivyake[emoji2]Katikati ya bahari ya atlantic unachomoka kwenda wapi sasa [emoji1]
Pacific Ocean ina 165 million km.square, yaani Tanzania inaingia karibu mara 175.Ndio mpo robo au nusu ya hio bahari hilo jacket litakupeleka wapi? Yaani hapo ni parapanda tu.Mambo yakiwa mengi hizo boat sio nzuri maana kila mtu atataka kupanda alafu mzame wote.. dawa ni Life jacket tu na kukaa stand-by. Ukiskia ile filimbi tu unaangalia pa kujitupa
Cha msingi upate uokozi.. sio ufe kifala fala. Hapo unaweza sustain hata zaid ya 5 hrs..Pacific Ocean ina 165 million km.square, yaani Tanzania inaingia karibu mara 175.Ndio mpo robo au nusu ya hio bahari hilo jacket litakupeleka wapi? Yaani hapo ni parapanda tu.
Mifumo ya kutoa taarifa kwenye vyombo vyote vya usafiri ipo ila, wakiwa na jambo lao mifumo ushindwa kufanya kazi.Wangeweka mifumo ya tahadhali iwapo inapata hitilafu na kuanza kuzama
👍Mifumo ya kutoa taarifa kwenye vyombo vyote vya usafiri ipo ila, wakiwa na jambo lao mifumo ushindwa kufanya kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo unapanda ila muda wote LIFE JACKET unalipiga jicho.. mambo yakiwa mengi unajiwahi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu unaulizia mapemaa zilipo boat za uokozi na ufanye booking mapema ili just incase
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BAHARI IMESIKIA TENA NJAA BAADA YA KUTAFUNA TITANIC
SASA INATAKA KUTAFUNA TENA MUTU INGINE[emoji23]
Ataliwa na papa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katikati ya bahari ya atlantic unachomoka kwenda wapi sasa [emoji1]
Kwanza ataliwa na papa humo baharini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pacific Ocean ina 165 million km.square, yaani Tanzania inaingia karibu mara 175.Ndio mpo robo au nusu ya hio bahari hilo jacket litakupeleka wapi? Yaani hapo ni parapanda tu.