Baada ya Trump kukosa points Iran sasa anataka kuzipata kwa Cuba?

Baada ya Trump kukosa points Iran sasa anataka kuzipata kwa Cuba?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Trump alijua vita ya Iran itamuongezea points na MAGA wenzake kuelekea uchaguzi wa wabunge na magavana mwezi Novemba. Kilichotokea ni amepoteza points nyingi.
Sasa juzi serikali yake imemfungulia mashtaka Raul Castro kwamba mwaka 1996 akiwa waziri wa ulinzi kwenye serikali ya Fidel Castro aliamuru ndege mbili za raia zitunguliwe na raia wanne wa US wakauawa. Anataka kumkamata Kimaduro au kuangusha serikali ya Cuba ili ascore points anazohitaji sana kuelekea uchaguzi wa midterm?
 
Cuba wanahali mbaya sana kiuchumi ndio maana anatumia hio njia kuwakandamiza
Chanzo ni wao kuwanyima Mafuta

Trump na Genge lake wanatumia fursa iliombele yao !!!

Kwa malengo yao tukumbuke ukiacha Uchaguzi wa Nov !!

kwasasa Russia imebebeswa zigo la Ukraine !!!

Kwao njia nyeupe na ndio nafasi ya kuwachapa washirika wake!!!

Lawama lazima ziende kwa Putin wa Russia, wamejichanganya kutaka Vita ya Ukraine viendelee muda mrefu!!

Sasa Marekani imesafisha Venezuela na inataka na Cuba wajiakikishie Usalama!!

Lkn siamini kama watashinda pale Cuba pamoja na uwezekano wa usaliti lkn Cuba inafaida yakuwa na intelligence bora sana.

Mm naamini Marekani ataomba pooo asubuhi tu. Sababu sio mala ya kwanza kujaribu kuivamia Cuba lkn mwisho wanaishia kuwawekea Vikwazo.

1)
Tatizo kubwa kwa Marekani Cuba ipo jiran sn na Florida

2)
na Cuba ipo juu ya usawa wa bahari na iyo Florida ipo chini sana,

Kama kutazuka Vita kunauwezekano wakazi wa Florida kutakiwa kuama jambo gumu sana kwa Marekani wakazi wa Florida wengi sana!!!

na kuna wa Cuba wengi apo Florida wengine wapo kwaajili ya Cuba yao.

Naweza Sema Trump hawezi kutumia njia ya Vita eneo ilo.
Itakula kwake.
 
Back
Top Bottom