Cuba wanahali mbaya sana kiuchumi ndio maana anatumia hio njia kuwakandamiza
Chanzo ni wao kuwanyima Mafuta
Trump na Genge lake wanatumia fursa iliombele yao !!!
Kwa malengo yao tukumbuke ukiacha Uchaguzi wa Nov !!
kwasasa Russia imebebeswa zigo la Ukraine !!!
Kwao njia nyeupe na ndio nafasi ya kuwachapa washirika wake!!!
Lawama lazima ziende kwa Putin wa Russia, wamejichanganya kutaka Vita ya Ukraine viendelee muda mrefu!!
Sasa Marekani imesafisha Venezuela na inataka na Cuba wajiakikishie Usalama!!
Lkn siamini kama watashinda pale Cuba pamoja na uwezekano wa usaliti lkn Cuba inafaida yakuwa na intelligence bora sana.
Mm naamini Marekani ataomba pooo asubuhi tu. Sababu sio mala ya kwanza kujaribu kuivamia Cuba lkn mwisho wanaishia kuwawekea Vikwazo.
1)
Tatizo kubwa kwa Marekani Cuba ipo jiran sn na Florida
2)
na Cuba ipo juu ya usawa wa bahari na iyo Florida ipo chini sana,
Kama kutazuka Vita kunauwezekano wakazi wa Florida kutakiwa kuama jambo gumu sana kwa Marekani wakazi wa Florida wengi sana!!!
na kuna wa Cuba wengi apo Florida wengine wapo kwaajili ya Cuba yao.
Naweza Sema Trump hawezi kutumia njia ya Vita eneo ilo.
Itakula kwake.