Baada ya Trump kumdhalilisha Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kuwa UK iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine

Hayo ni maneno matupu ya mkwara, lakini hayatekelezeki bila msaada wa Marekani. UK kwa sasa kipaumbele chake ni kuimarisha jeshi lake ili kujilinda yenyewe. Haina uwezo wa kuingilia mgogoro wa nchi nyingine kwa nguvu kubwa maana itapunguza sana uwezo wa kujilinda yenyewe.
 
Ndo hio stable economy ionekane ....Mjerumani alipokua kabla ya vita sio alipo baada ya vita na uchumi wa ujerumani ulikua ni mkubwa kuliko wa huyo muingereza.......hao hawana ubavu wa kusimama wenyewe wafadhili vita ya muda mrefu lazima nchi zao ziyumbe....na hilo gap la kujitoa marekani hata wajitutumue vipi hawawezi kuliziba , hawana uchumi wa vita za muda mrefu bila marekani
 
UK hakurupuki, Kwanza UK ametoa msaada mkubwa zaidi ya marekani
Hivi hizi taarifa mnatoa wapi watu wa JF?
Ebu tueleweshe kwanza huenda tukakubishia huku hatujui msaada unaohusu nini.
Inawezekana siyo wa kijeshi wa kuwezesha Ukraine ishinde Vita.
Tuwekee hapa figures yaani namba za takwimu za UK na USA misaada kwenda Ukraine tangu 2014 au 2022.
 
Hamalizi miezi 6 huyu PM... Wazee wa Brexit hawapendagi ujinga!
Kwenye hili la kusaidia Ukraine hata wapinzani wa Starmer nchini UK wanamuunga mkono.

Hata nchi nyingi za UE wataunga tella maana wanamuona Putin kama tishio kwa hatma ya Ulaya ambaye ni lazima adhibitiwe.
Wanajua "usipoziba ufa utajenga ukuta"
 
UK ipi unayoizungumzia? UK inayolindwa na Us military bases? Kwa taarifa yako bongo Yuko free kijeshi kuliko UK!
 
Katika mtu ambaye ambaye si wa kumuamin ni huyu waziri .. jamaa ni chawa kinoma
si
 
Wanajeshi active wa U.K hawajazi hata Old Trafford wapo kama 70k. Apeleke jeshi aone kama atabakia hata na jeshi la kulinda mipaka yao
 
Hivi vita havikuwa vya lazima, ni ujeuri na ujinga tu wa Zelewensky kwa kuamini kuwa EU na NATO watamsaidia kuwashinda Russia. Ukraine wameingia hasara kubwa na watalipia madeni ya vita hivi kwa miaka mingi sana.

Vv
Kwa hiyo wangekaaa tu wasifanye lolote? Nyumba yako inavamiwa umekaa tu unamuambia jirani abebe kila kitu?

Huko majuu wangekuwa wanawaza hivyo wasingekuwa hapo walipofika
 
Sidhani kama Marekani (Trump) yaweza kumuondoa Starmer kwenye uongozi.
 
Hao wakisaidia ndani ya miezi miwili tu nchi zao yataanza maandamano ya maisha magumu na uchaguzi wa ghafla utaitishwa mtu anatolewa kwenye uongozi......Ulaya wapo kwenye mtego mbaya sana......Ujerumani kasaidia sahv wana chancellor mpya
Una ruhusa kutabiri kwani hakuna jinsi ya kuhakiki ukichosema.
 
Hivi story za kijiweni kama hizi mnatoa wapi, hamfuatilii habari au?
US ametoa msaada almost ten times(x10) ya alichotoa UK leo useme UK katoa zaidi!!!
US peke yake msaada wake ni almost equal to all European countries combined, yaani almost 50% ya kilichoenda Ukraine kimetoka US, acheni story za vijiwe vya kahawa fuatilieni facts.
 
Umesema vyema

Kwenye hii vita ya Ukraine mataifa ya Ulaya hamna watakachofanya bila ya Marekani

Michango tu ya bajeti ya NATO zaidi ya nusu nzima ni Marekani ndiye mchangiaji mkubwa. Marekani 70%, U.K 5%

Without the U.S there is no NATO safari hii watajionea how much the U.S is needed
 
Mkuu hujui kutwa US ni tawi la UK? UK ndio iliijenga US. Starmer hajakurupuka
 
Huyu Trump ni kibaraka wa Putin
 
Kikubwa nataka waende front ili Russia ajimegee sehemu za UK kama alivyomega Ukraine ili hao wa UK wakimbilie uhamishoni kwa bwana wao TRUMP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…