Baada ya Trump kumdhalilisha Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kuwa UK iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine

Baada ya Trump kumdhalilisha Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kuwa UK iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine

Ni jambo jema..
UK hawapo pekee kwa msimamo huo, kuna France, Germany, Italy, Poland, nk.

Trump amepuyanga pakubwa kwa hili.
Anajaribu kulipa fadhila binafsi kwa Warusi..

Wagonjwa Poland na Italy nao Unawaona wa maana??? hao ni bendera fuata upepo. Hapo France na UK wana maslahi ya kiuchumi na madini ya Ukraine. Wanaona wakibaki nyuma Marekani na Urusi ndo watakaofaidi hayo madini, hivyo na wao wanajitutumua ili wapate keki ya madini na wao. Italy angebaki tu kuwa nyutro. Poland lengo lake na Ukraine Magharibi kama Ukraine itakuja kuwa fallen state basi wao wajinyakulie kipande hicho.
 
Ni jambo jema..
UK hawapo pekee kwa msimamo huo, kuna France, Germany, Italy, Poland, nk.

Trump amepuyanga pakubwa kwa hili.
Anajaribu kulipa fadhila binafsi kwa Warusi..

Analipa fadhira au anaogopa mrusi hasijeweka maujinga yake adharani.
 
Achana na misaada ya 2014 Sababu haina Uwazi wa kutosha.

Next time wakati unatumia Google tumia akili, si copy and paste.
Sawa naomba hizo namba sasa nijiridhishe.
Wote hajuta jaliwa akili kama zako.
Common sense goes with facts, facts without numbers becomes mere opinions.

Angalizo:
Akili uliyoniambia nitumie nimetafsiri kuwa common sense.
 
Achana na misaada ya 2014 Sababu haina Uwazi wa kutosha.

Next time wakati unatumia Google tumia akili, si copy and paste.
Ningependa tutumie takwimu za misaada iliyopitishwa kwenye Congress sijui Baraza la seneta kwa Marekani, na Bunge la Uingereza. Hiyo itakuwa ushahidi usio na shaka.
Au tovuti rasmi za serikali husika au taarifa za mijadala ya bunge la Ulaya na vikao vya NATO au G7.
 
Wanajeshi active wa U.K hawajazi hata Old Trafford wapo kama 70k. Apeleke jeshi aone kama atabakia hata na jeshi la kulinda mipaka yao
Kwani putin bado anao?
Hukusikia baada ya kuishiwa askari alienda kuomba na akapewa msaada wa wapiganaji 10k kutoka North Korea, ambao pia wameshamalizwa chap?
 
Hiyo rank unayotumia inasema U.K ya 6 na Russia ya 2 duniani? Je, wataiweza kweli Russia?

Na huku U.K ikiwa na active soldier 70k tu?


To get U.K. Boots on the ground Starmer needs a bigger army than he has now
Ni kweli UK hana ubavu wa kusimama na Russia lakini wanaonyeshana tu ubabe wa bila vita
Hapa UK, Russians jet planes zinapita kibabe kwenye anga la Uingereza lakini sana sana wanasindikizwa tu kutoka
 
Sijui kwa nini wabongo wanapenda kukurupuka.

Unadhani Germany uchumi wake ni wa kuunga unga kama ulivyo wa kizimkazi.

Jitathmini.
Jitathmini na weye.....chancellor alietoka katolewa kwa sababu ya uchumi kuyumba au nyie uchumi mnadhani ni hizo senti mnazopewa na usaid kwenda kuhonga wakina Mwajuma mtaani basi ndo mnadhani hio pesa mzungu hata vitani anaweza kwenda nayo
 
Ya kwamza mpaka 5 ni akina nani?
THE TOP 10 MILITARY POWERS IN THE WORLD IN 2025 ARE:-
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. South Korea
6. United Kingdom
7. France
8. Japan
9. Türkiye
10. Italy
These rankings are based on a number of factors, including:-

MILITARY STRENGTH: The size of the military, the number of aircraft, and the number of tanks.

DEFENSE BUDGETS: How much money is spent on defense.

TECHNOLOGY: The level of advanced weaponry and defense systems.

GLOBAL INFLUENCE: The country's impact on the world
 
Wakuu,

Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.

Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita

========================================

Starmer inabidi ajitafakari sana.

Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.

Mzee ajitafakari sana huyu

Mbona unaonyesha nidhamu ya woga sana kwa marekani wakati ni mchumba tu,
Kila kitu marekani marekani
 
Back
Top Bottom