NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Wagambo wa hamas wakatuonesha kweli halisi.maneno kama haya ndio mliokuwa mnayatumia kutudanganya pia kuhusu israel,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagambo wa hamas wakatuonesha kweli halisi.maneno kama haya ndio mliokuwa mnayatumia kutudanganya pia kuhusu israel,
Kwamba anafanafanya UK na Eu kuwa kitu KIMOJA so sio?Kwenye post yako umesema UK Katoa pakubwa kuliko US then hapa unaleta takwimu za EU na unaleta dharau kabisa.
Huoni wewe ndio unashida?
hivi wewe uk unaijua ilishawahi kuwa superpower na ilitawala dunia
Wagonjwa Poland na Italy nao Unawaona wa maana??? hao ni bendera fuata upepo. Hapo France na UK wana maslahi ya kiuchumi na madini ya Ukraine. Wanaona wakibaki nyuma Marekani na Urusi ndo watakaofaidi hayo madini, hivyo na wao wanajitutumua ili wapate keki ya madini na wao. Italy angebaki tu kuwa nyutro. Poland lengo lake na Ukraine Magharibi kama Ukraine itakuja kuwa fallen state basi wao wajinyakulie kipande hicho.Ni jambo jema..
UK hawapo pekee kwa msimamo huo, kuna France, Germany, Italy, Poland, nk.
Trump amepuyanga pakubwa kwa hili.
Anajaribu kulipa fadhila binafsi kwa Warusi..
Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani
Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...www.jamiiforums.com
Wewe mkuu unaropoka ama unaongea?
Mkuu hujui kutwa US ni tawi la UK? UK ndio iliijenga US. Starmer hajakurupuka
Analipa fadhira au anaogopa mrusi hasijeweka maujinga yake adharani.Ni jambo jema..
UK hawapo pekee kwa msimamo huo, kuna France, Germany, Italy, Poland, nk.
Trump amepuyanga pakubwa kwa hili.
Anajaribu kulipa fadhila binafsi kwa Warusi..
Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani
Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...www.jamiiforums.com
Kuna siku Tanganyika itakiwasha kwenye usuperpowers.Hata Egypt Kingdom, Roman Empire, Persian Empire (Iran), Babylonian Empire ziliwahi kuwa superpowers
Superpowers come and go
Marekani chini ya trump ni ovyo sanaMarekani huyuhuyu alietolewa mkuku na Talebani....
Sawa naomba hizo namba sasa nijiridhishe.Achana na misaada ya 2014 Sababu haina Uwazi wa kutosha.
Next time wakati unatumia Google tumia akili, si copy and paste.
Ningependa tutumie takwimu za misaada iliyopitishwa kwenye Congress sijui Baraza la seneta kwa Marekani, na Bunge la Uingereza. Hiyo itakuwa ushahidi usio na shaka.Achana na misaada ya 2014 Sababu haina Uwazi wa kutosha.
Next time wakati unatumia Google tumia akili, si copy and paste.
Ni fadhila...Analipa fadhira au anaogopa mrusi hasijeweka maujinga yake adharani.
Kwani putin bado anao?Wanajeshi active wa U.K hawajazi hata Old Trafford wapo kama 70k. Apeleke jeshi aone kama atabakia hata na jeshi la kulinda mipaka yao
Ya kwamza mpaka 5 ni akina nani?Ni ya 6 duniani
Ni kweli UK hana ubavu wa kusimama na Russia lakini wanaonyeshana tu ubabe wa bila vitaHiyo rank unayotumia inasema U.K ya 6 na Russia ya 2 duniani? Je, wataiweza kweli Russia?
Na huku U.K ikiwa na active soldier 70k tu?
To get U.K. Boots on the ground Starmer needs a bigger army than he has now
Jitathmini na weye.....chancellor alietoka katolewa kwa sababu ya uchumi kuyumba au nyie uchumi mnadhani ni hizo senti mnazopewa na usaid kwenda kuhonga wakina Mwajuma mtaani basi ndo mnadhani hio pesa mzungu hata vitani anaweza kwenda nayoSijui kwa nini wabongo wanapenda kukurupuka.
Unadhani Germany uchumi wake ni wa kuunga unga kama ulivyo wa kizimkazi.
Jitathmini.
THE TOP 10 MILITARY POWERS IN THE WORLD IN 2025 ARE:-Ya kwamza mpaka 5 ni akina nani?
Kwani wewe ulizuiliwa? Usaid oyeeUna ruhusa kutabiri kwani hakuna jinsi ya kuhakiki ukichosema.
Mbona unaonyesha nidhamu ya woga sana kwa marekani wakati ni mchumba tu,Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko tayari kupeleka ndege zake za kivita
========================================
Starmer inabidi ajitafakari sana.
Yaani Marekani ikiamua, hata yeye anaweza kuondolewa madarakani vilevile.
Mzee ajitafakari sana huyu